kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,932
teh....teh...mwacheni mzee wetu anachangamsha barazasasa hivi nafikir sio uzee tu unaokusumbua, nafikiri una busha na tezi dume kwa pamoja
teh....teh...mwacheni mzee wetu anachangamsha barazasasa hivi nafikir sio uzee tu unaokusumbua, nafikiri una busha na tezi dume kwa pamoja
kama mahakamani tunashindwa kesi na hawa mafisadi,kuna ulazimagani wakuwanazo mpaka sasa??mpaka ungwe hii hakuna alie silimishwa napata mashaka na hii safari,Mussa alifanya maajabu yakiungu hata kabla jua halija chomoza
Mzee mwanakijiji huko nyuma..hukuwa hivyo...umeharibika sana.What.. waliopoteza dira hujawaona bado... shauri lako.
Si bure mjomba .Mzee mwanakijiji umepoteza dira! !
Utaona kila rangi mwaka huuNiambie mpaka leo hii ni fisadi gani ameguswa kati ya yale mafisadi yaliyofilisi hii nchi?
Mafisadi ya Escrow leo hayako uraini?
Baadhi ya watuhumiwa wa hii kashifa hawako kwenye cabinet yake?
Ya Lugumi,ya UDA,ya bilioni 9 za Ikulu(mazingira) n.k hayajui?
Twambie ni kiongozi yupi basi asiyetoka kwenye familia ya kifarao? Lowassa? My foot!!!!Tumekubali kuondoka Misri lakini hatutaki kiongozi wa Msafara wetu atoke katika familia ya ki-Pharaoh. Ndiyo maana Musa hakuwa na uhusiano wowote na wana wa Misri.
Sasa utasomaje wakati wewe umeshikiwa akili na watu?Ningekuwa sijakutambua ningejitahidi kusoma andiko lako!
Mmhhh kuna kaukweli kdg!Tatizo walituaminisha kuwa wanataka kwenda mbele na kwamba huko mbele kumejaa asali na maziwa, lakini ndani ya miezi sita wanasema bora kurudi kule kule tulikotoka. Mfano halisi, walisema posho, warsha viondolewe, lakini sasa wanataka posho na warsha virudishwe. Pili, rais ana safiri sana, sasa wanataka rais asafiri! The list is endless. confusaniiiii!
Mimi nimependa mabadiliko ya bei ya sukari. Utamu lazima uuzwe kwa bei ya juu.Inasikitisha kuona UKAWA wanapinga kila juhudi ya rais kuleta mabadiliko.. ...
Rais piga kazi tunakuunga mkono.
Rais amepunguza bei ya sukari kutoka 1800 mpaka 3000-4000.Leo asubuhi,Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ( CCM) alitoa hoja ya haja ya dharura kulitaka Bunge kujadili uhaba wa sukari nchini. Bashe alitoa mfano wa bei ya sukari kwasasa,kuthibitisha uhaba uliopo kwa sasa,kuwa kilo moja inauzwa kati ya 3000 na 4000.
Pamoja na kupata uungwaji mkono utakiwayo,kwa Wabunge wenzake kusimama,Kiti cha Spika chini ya Dr. Tulia kiliizima hoja hiyo ya Bashe. .......