Wakati unaomba visa hukuulizwa utakapofikia? Barua ya mwaliko ulikuwa nayo? Saa nyingine acha kuota ukiwa macho.August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama.
Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza.
Asanteni wakulungwa.
Manhattan down town, you know! RIP Boma Leee, Boma yooAugust 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama.
Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza.
Asanteni wakulungwa.
Circumcentences = circumstances. Huko Marekani utakuwa unaongea lugha gani? Wakati wa kuomba Visa uliongea kikwenu?Mzee visa ipo na circumcentences zinatofautiana mtu kupata visa. km mtu hujui kumjibu mtu si ukae kimya??!!
Abnb.....mkuu soma Uzi wangu tena utaelewa nataka nini.
Ila asante pia kwa kujibu.
Uzi ufungwe🤣✌Wakati unaomba visa hukuulizwa utakapofikia? Barua ya mwaliko ulikuwa nayo? Saa nyingine acha kuota ukiwa macho.