Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
 
Chukua ml 2 tengeneza banda la chuma la biashara. Kodi eneo karibu na shule yeyote ya serikali iwe ya sekondari Nunua friji used la laki 2 mpaka 5 kisha anza kuuza ice cream, ufresh, juice mtaji ukikua anzisha stationary na photos studio.
Sawa mkuu, ushauri mzuri sana huu nitaufanyia KAZI hivi karibuni
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Jifunze udereva, ukimaliza tafuta shule piga kozi ya lugha ya Kichina.

Funga uzi!
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Instead of kujifunza udereva wa magari makubwa tafuta chimbo Jifunze kuendesha mitambo(excavator ) NK barabara nyingi zinajengwa na nyingi zinafanyiwa maintenance kila siku uzuri ukiweza Ku operate mitambo kuna site nyingi wanaitaji watu na bado ni wachache
Ukiwa na ujuzi Tu umetoboa kuliko ukawe chokoraa Dubai kulala kwenye mitalo na vibaraza vya watu mshiko ukiisha na upo nchi za watu utavuliwa ubingwa (jicho la tatu) kizembe Sana hahahahaha

All in all napenda sana spirit ya kujiripua kwenda kuanza upya mazingira mapya najuta nimechelewa kufanya maamuzi nimebaki mpakani (matakoni) mwa Tz for decade
 
Instead of kujifunza udereva wa magari makubwa tafuta chimbo Jifunze kuendesha mitambo(excavator ) NK barabara nyingi zinajengwa na nyingi zinafanyiwa maintenance kila siku uzuri ukiweza Ku operate mitambo kuna site nyingi wanaitaji watu na bado ni wachache
Ukiwa na ujuzi Tu umetoboa kuliko ukawe chokoraa Dubai kulala kwenye mitalo na vibaraza vya watu mshiko ukiisha na upo nchi za watu utavuliwa ubingwa (jicho la tatu) kizembe Sana hahahahaha

All in all napenda sana spirit ya kujiribua kwenda kuanza upya mazingira mapya najuta nimechelewa kufanya maamuzi nimebaki mpakani (matakoni) mwa Tz for decade
Hahahaha 😂

Hahha mkuu very interesting
Sasa ushauri wako mkuu ni upi mana naona mwisho unatamani sana kujilipua upi muafaka wako?
 
Back
Top Bottom