hommie unajua asubuhii utasababisha matatizo mbavu zangu mtumee!!Hehehe! Shughuli ni watu! (kwa kinoname- Activities is people.)
nimekusoma hommiePanapokuwa na maslahi yangu huwa hangover haileti madhara. Kama unajua kusoma katikati ya mistari nadhani utakuwa umenielewa.
Halafu kale ka fevareti ketu mbona hukatendei haki?
Hehehe! Umekula Senksi hapo. Leo umeamua kumix kibluray na kinoname. Hiyo inaitwa kiblu-no! Ngoja nikazimue, naona kichwa hakija kaa sawa leo.kamwe hatarudisha avatar yenye engagement ring......(kibluray kimehusu hapo)
Mkuu isije kuwa habari ya tanker la mafuta na kipanya bana, pima mwendo mkuu.
"Mtumishi wa Mungu na Mpakwa mafuta " Cheusimangala alidhani wengi tulikwazika na hiyo "real elevation" kumbe haikuwa hilo, baadae amegunduni kwa kitendoo chake cha kuweka avatar yenye mkono wenye pete ya ndoa badala ya uchumba ndo imekukwaza Mkuu zaidi, na thanks nyingi kwake kwa kurekebisha kosa haraka sana ili "dokta" usiumie!..
Amini nakuambia: Hakuna raha kama kudumisha mila na mrembo mwenye pete ya uchumba. Laiti Cheusie angelijua hilo...............!
Ngoja nimtafute Kaizer aanze kupapasa organ hapo.nimekufanzia mapenzi yako tayari.!
nimekufanzia mapenzi tayari.!
Ngoja nimtafute Kaizer aanze kupapasa organ hapo.
Ndipo niliposeeeema, tazama nimekuja
Bwaaaana nimekuja, tazama nimekuja
Kuyafanya mapeeeenzi yakoooo!
Hommie on the needful.........!eeeh unajua tena wengine na profession zetu! hahahahaa mwendo nimeuona huo hauna madhara kila kitu kimepimwa apo!
Laiti angejua! Hapo angejua sasa ndo katufungia milango ya mbinguni, angeirudisha ile ya zamani. Kama si hommie Kaizer kuniomba nisimvurugie mambo angeshakamata PM zangu za kufa mtu!Kosa kuba bana..
Xpn au nawe ulikuwa kwenye ile orodha ya walio m PM mara baada ya kuweka avatar yenye pete ya uchumba akakwazika yeye badala ya wale aliodhani tunakwazika kwa "antena yake"??
okay. pako na mamushka hapaharibiki kitu hapo...big up thats morning glory (ki Noname icho) π
Ngoja nimtafute Kaizer aanze kupapasa organ hapo.
Ndipo niliposeeeema, tazama nimekuja
Bwaaaana nimekuja, tazama nimekuja
Kuyafanya mapeeeenzi yakoooo!
Hommie bado slow learner. Atajua tu lakini.B kwnza ume edit lakini hujaharibi
its Mamushka-Pako r'ship
afu hapo umetumia ki-Bluray pa seee
Dah! Umenikumbusha marehemu Felician Albert Nyundo.dah hommie umekula senks kwa kukumbuka profession za wapwaz
apo naona una do ze nidiful ku conduct...3/8, moderato
B kwnza ume edit lakini hujaharibi
its Mamushka-Pako r'ship
afu hapo umetumia ki-Bluray pa seee
ooooh mai mai..is there a significant difference between Ki Noname na kiblurei? ππ B unainsuniate nini apo toba!
Ngoja nimjibu mamushka!ofcoz there is, cant you see? open your eyes B!!!
hahaa sija-insinureti chochote bana muulize Biggy mi hata sijui mwendhio!!!
Kwa mfano rahisi.......Hapo umepiga kibluray!ooooh mai mai..is there a significant difference between Ki Noname na kiblurei? ππ B unainsuniate nini apo toba!
bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!Kwa mfano rahisi.......Hapo umepiga kibluray!
Ngoja nimjibu mamushka!
Kwa mfano rahisi.......Hapo umepiga kibluray!
bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!
ofcoz there is, cant you see? open your eyes B!!!
hahaa sija-insinureti chochote bana muulize Biggy mi hata sijui mwendhio!!!
aika mkeku....ha ha ha mi sipati picha sinajina aje akute mmesha customize ID yake!! mi ntapita mbaaliiiiiii!hahaaa karibu Meku, taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu umeingia kundini leo!!!!
Nahisi kama hangover inaanza kuisha!bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!