Hilo swali LA msiiiingi mno!MNOO
King'asti ulivyo Tomaso naomba tu ukuje!
Utanchosha na maswali baadae!
Mie nshawaza hadi akili za uzeeni zimeisha.
Afu wajinga hawa, wasije kuwa wamehamia PM, maana mie moyo wangu wote umelala hapa.
Ukimeo ulikuwepo Kabla ya kuwa nae I can admit that ila nimechange a lot kwa ajili yake
mna diskasheni gani hapa mnanipa mawazo mie nalea mapacha! manake paw anadeka kuliko mtoto mpya.
nini mbaya?:bump2::bump2:
Nimebaki nabung'aaa!
Jamani nisaidieni Mimi umbea unaniua wallahi
Hata yeye amebadili username muda Kidogo waliokuwa wanamfahamu kwa jina la zamani hawamjuhi kwa jina la sasa
haa haa leo mbivu na mbichi hapa hapa
rudi usome tena unibembelezee huyu msweet wangu maybe atakuelewa
njoo nikusummaraizie lol
Nini?!!! .
Naijua ID yake ile nyingine hii ni kweli kaibadilisha...................
He he he, nimekutoa kwenye chama cha udaku na OLESAIDIMU wako
Tunatafuta hizi ID ni zipi? Ili tuzisaidie kusameheana.
Hivi huna mtu huko Manhattan atuangalizie mtz gani kalala sero recently?
Mie ndugu zangu wote wako Kibaigwa na Kongwa, daym!
Mwenzangu, 10m ujue vits moja na robo? Na ukizingatia kizazi cha wahongaji kilishaisha nineteen kweusi??!!
Hivi nani alikuwa anaanzisha charity? Memmory inakuja na kuruka
yaani mie umbea nastaafu. ntasahau mtoto kwenye beseni la maji mjue, ohoooo!
Ngoja bebii alale nirudi, manake namfukuzia huyu mjutaji
Pole sana kaka angu amini hiyo ni mitihani tu.
Napenda kukuambia kama kweli mnapendana lazima atarudi tu kwani mapenz ni kitu cha ajabu kama ana true love lazima anaumia ila anatafuta jinsi ya kukufuata... kwani sion sababu kubwa ya kuwatenganisha hiyo ilikua ajali kama ajali zingine! Ila kama kuna lingine sawa.... Lakini pia yawezekana ulikua unatafutiwa sababu bila kujua so unatakiwa kuwa makini na hilo pia.... Nakuombea msamaha usamehewe ili muendelee kufurahia mapenz kama zamani!!!
Ulishawahi kupewa hata laki tu ya matumizi yako mke mwenza?