Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Off course I do (In tears), opps kumbe mie sio Rappie.
hahahahahaa Kongosho hakiyani una ajenda na mbavu zangu leo
Last edited by a moderator:
Off course I do (In tears), opps kumbe mie sio Rappie.
Na ndio maana nimetumia I'd hii kwa ajili yenu watu Kama nyie
Tatizo mwanamke akijua kutafuta hela anakuwa na kiburi sijuhi ? but anyway nimemuhuliza swali anijibu nivunje huu mjadala
We fanya bas nlivokwambia niendelee!
Kwani kumfumania bar na rum ni issue?
Lamborghini mi hata nikikikufumania kiunoni poa tu!.
Ahahahahahahahahaha watu mnafurahisha nyiiiie!
Hivi why unampa mchepuko 10m afu unakutosa tena nchi ya ugenini?
Kwa mujibu wa Kongosho hiyo ni bajeti ya baby walker moja na robo hivi.
Halafu kana kwamba haitoshi unataka ile baby come back huku ukiwa "on a bended knee"
Hivi kwani hukufunzwa dalili za mwanamke asiyekutaka akikuchoka anafanyaje?
Halafu hujanambiaga kama part time una ID hii hapa
Ndo ivo sredi liko sticky maana apa keshakuja snowhite [MENTION=124442]........ Hahahaha keizer nakula ujue!!
Bahati ??kwa lipi hasa?
Nyie ndugu, au ID zetu marafiki? Na mie ni rafiki yako kwa ile ID ya zamani? Ujue nina charity work mtongani, nasomesha watoto wa mazingira magumu, bajeti yangu ni 3m tu mkuu.😛eep:
Mi nataka kuhack akaunti ya Rappie
Sipendi unachoniambia tena unazidi kunikera we endelea na show off zako
Am done
Ila najiuliza mleta mada ana maslahi gani mpk sredi yake inawekwa sticky!
Ahahahahahahahaha Konnie hii kesi inazidi kuwa kubwa ujuee!
Ila najiuliza mleta mada ana maslahi gani mpk sredi yake inawekwa sticky!
Ahahahahahahahaha Konnie hii kesi inazidi kuwa kubwa ujuee!
Tatizo mwanamke akijua kutafuta hela anakuwa na kiburi sijuhi ? but anyway nimemuhuliza swali anijibu nivunje huu mjadala
kosa lako ni kukaa na wadada basi
I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar
Awwwwwww ,sooooo sweeet!
Hii wakati niko sekendari ni kama hedi boyi kuimba wimbo af mwanzo aanze na neno this is for u snowhite!
Mwanmme kukulilia hadharani? Hujui ulichonacho hadi ukipoteze, mwanamme anakufuata kila uendako, am sure una ulimbo.
Tatizo mwanamke akijua kutafuta hela anakuwa na kiburi sijuhi ? but anyway nimemuhuliza swali anijibu nivunje huu mjadala
Mi nakuachia huyo hapoo
I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar