Lamborghini
Senior Member
- May 30, 2014
- 122
- 55
- Thread starter
-
- #301
Deo ,hapa yako haya,mawili
Wamerge hizi two IDs au watufungulie pm!
Vinginvyo wazifungulie ID zote walizounganisha!.
Wakianza na ya Morg na Vai!
Bujibuji na Gilesi
#bringbackourmorgorgiveusourlambowazamani #
AAAAAAAGH WANAWAKE WAMEJAAA KIBAO BANAAA
Join Date : 30th May 2014
Nilikuwa sijui na sibishi,
Unakumbuka ya moreen beby??huyu ni mheshimiwa humu !!loh
hahahaha kazi kweli
Hahahahahahaha nazidi kuamini Jf pengine kuna member 10 tu!
Duh,, sitanii yaani kila post yako ktk hizi sredi mbili ya dada @ Vai na hii zinaniacha hoizanifanya nsibanduke hapa JF ati!!
Kazi yangu leo ni kurefresh page tu!!
Yani mi mwenyewe nimegundua how sweeto it iz!
Jamani ruksa mtu kunifungukia hazarani!
Au sijui nijiwowe!
Mie kwani nataka 10 mil kaka? hata mil 8 tu zinatosha, ntakupa punguzo jameni.
Afu ujue mie bado mpya mpya eeh
Anakupenda ila lile tukio la kukukuta na wadada rum, kweli wewe bandidu ila basi tu.
Natamani akusamehe kiukweli
Unakumbuka ya moreen beby??huyu ni mheshimiwa humu !!loh
umetia pua yako hapa kuna watu walinipm kujua kama umo kwenye list aliyoitoa Kaizer hahahaha watu roho zao wamezisha mkononi dah Jf!!!acha tu
Najua zawadi gani nitakayompa una passport my dada Kongosho?
hahahahaha ubavu wa kubisha huna afu id yako gunda ina maana gani
Kongosho unaulizwa una passport?? Maana umelalamika ndg zako wote wapo kibaigwa haya sasa uwe wa kwanza kwenda kuiona ulaya... Ila swali la kizushi shem atabak na nan??
haki Leo sikuwahi kujua hii sredi ingenipa raha hiv!Huo ubavu wa kumwondoa ninao sasa...? Mi mwenyewe mbavu kushnei nimebaki kutoa ulimi tu...
mr maprosoo kama kuna second tender ya kukuombea msamaha sema au opotunity imefungwa lol
AAAAAAAGH WANAWAKE WAMEJAAA KIBAO BANAAA
Join Date : 30th May 2014