Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Siku hizi humu ni msimu wa kulavuana tu!
Huyo mililita sijui kilolita aliwekaga uzi hapa oh nataka kumuoa huyo bibie vai!wakacharurana weeee binti akahitimisha SIKUTAKI!
Leo asbh kaamka na sredi oh nimetoka kutoa posa jiandaeni na harusi,weeeeeeeeeh!kimemuwakiaje !mwisho oh mi natania jamani!
Mfyyuuuuuuuu unaanzaje kumtania mtu usiye na utani nae?
Ndo anatolewa kucha bila PF3 huko!

Sisi tuhesabu tu hao watoto watakaozaliwa hiyo mwakani, maisha yanavyotait na sisi tunaingiza tu product sokoni
 
Ok sawa…lakini mimi sioni kama umekosea lolote ni huyu binti mwenyewe amejisababishia matatizo…kwasababu hakuweza kujizuia hasira zake na kuingia kwenye ugomvi akawekwa selo haimaanishi ndo lawama upewe wewe???Au anatafuta sababu tu za kukununia ili yake yamuendeee??Na huo ubize wake wakushindwa kukufata mgeni wake/mwenzi wake airport siuelewi,ukichangia alikuwa anajua kuwa unakuja!!:blabla:Hajapata anayemzingua kweli,ninavyosoma unayoandika kama anakuepuka….au it feels like you are the one in love!!

Kuna vitu vingi hajaviongea hapa ila kama anatafuta huruma flani hivi..
Ila yeye kama kaamua kumwaga mboga msilipizi kwa kumwaga ugali hata siku moja
 
Kuna vitu vingi hajaviongea hapa ila kama anatafuta huruma flani hivi..
Ila yeye kama kaamua kumwaga mboga msilipizi kwa kumwaga ugali hata siku moja

Ni vyema umekuja....haya tupe ur side of the story sasa ili tutoe ushauri nasaha
 
Mi nahisi mwenzako kashachukua 50 zake nawe chukua zako,, kiroho safi tu mbona inawezekana,
ipo siku nawe utampata akupendaye kama umeendavyo yeye so kwasasa tulia fanya biashara zako usije ukaharibu kote!!
 
Makubaliano yetu yalikuwa nje ya Jf sipendi show off za kijinga na tulikubaliana hata kama tutapigana mangumi iwe out of Jf ..we umefanya nini hapa???
Enheeeeeeeeee hapa sasa wangoni tunasemaga zikongini!.
Kongosho ukuje!
Asprin hii sredi inakukumbusha nini?
Hahahahahahahaha hakyanani huu msimu ni kama masika vile kila mwaka lazma uwepo!
 
Last edited by a moderator:
Makubaliano yetu yalikuwa nje ya Jf sipendi show off za kijinga na tulikubaliana hata kama tutapigana mangumi iwe out of Jf ..we umefanya nini hapa???

mmmmh!!!!! Another case!!
 
Yaani angekuja na id yake anayoitumia ningeweza sema kitu hapa.
Maana ni mtu maarufu hapa mpaka wengine wanmfungulia topic za kumsifia ila kwa hili wacha libaki hivi hivi
.......... hapa pa kuunganisha dots ni watu8 tuuuu anaweza kunipa maakili!
Mtani ungwiiisa gwe!
 
Last edited by a moderator:
Enheeeeeeeeee hapa sasa wangoni tunasemaga zikongini!.
Kongosho ukuje!
Asprin hii sredi inakukumbusha nini?
Hahahahahahahaha hakyanani huu msimu ni kama masika vile kila mwaka lazma uwepo!

Duh,, sitanii yaani kila post yako ktk hizi sredi mbili ya dada @ Vai na hii zinaniacha hoizanifanya nsibanduke hapa JF ati!!
Kazi yangu leo ni kurefresh page tu!!
 
Makubaliano yetu yalikuwa nje ya Jf sipendi show off za kijinga na tulikubaliana hata kama tutapigana mangumi iwe out of Jf ..we umefanya nini hapa???

Rapunzel my dear ebu punguza hasira ... Najua bado una hasira na mimi lisikukwaze kuhusu ili la kuleta Mada hapa JF nimejikuta nina amani moyoni kwa kufunguka hapa
pls my babe am real sorry kwa yaliyotokea ili tuvunje mjadala huu pick up my phone tuongee ok?
 
Back
Top Bottom