Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Lamborghini ,Milioni kumi zile plus school fizi ndo maumivu yanazidi au?
Last edited by a moderator:
Hakyamama mpk miguu imebana!
Konnie upo?
Wanishirikishe mie tu, naapa wakinitenga nitafanyiwa upasuaji wa koo la umbea.
Asante dada yangu Kongosho ukaka na udada umeanza leo hesabu una zawadi yako toka kwangu kwa kunisimamia kidete
Nampigia simu tumalize huu mchezo ndio nitajua Kama bado ananipenda au la
Hahaaaaaa!!!Wanishirikishe mie tu, naapa wakinitenga nitafanyiwa upasuaji wa koo la umbea.
Why hii ni sticky?
Weee, mie mwalimu wa kemia alinidediketia, Mungu Ibariki Afrika parade, nililia wiki 2 mfululizo.
Why hii ni sticky?
Mjini fursa kibao, ukisema huna kazi uzembe at wek
Uwiii, ngoja nikazane, nsije kosa zawadi mie.
Ni bora angekuwa amekaa tu
Nisinge mind hata kidogo
Team Samehe Lambogini at wek
hahahaha zali la mentali wapiii King'asti lol
Can I guess,, nadhani ni another 10M LOL (Natania lakini)
Khantwe tafazali niondolee huyu mtu hapa!
Ananiua mbavu zangu!
Mhhhhh yaani thread zote hii ndio inaonekana ina important nfo hadi waiweke "sticky"
nna maswali mengi hapo.........
mkuu huyu lamborghini ni mtu maarufu sana hapa jukwaani.
hebu changanya akili kidogo tu utamgundua ni nani alafu iwe siri yako