Lamborghini
Senior Member
- May 30, 2014
- 122
- 55
- Thread starter
- #241
kosa lako ni kukaa na wadada basi
najuta aisee
kosa lako ni kukaa na wadada basi
kosa lako ni kukaa na wadada basi
Oooh!!! Pole.I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar
Mie kwani nataka 10 mil kaka? hata mil 8 tu zinatosha, ntakupa punguzo jameni.
Afu ujue mie bado mpya mpya eeh
Oooh!!! Pole.
Ila bado yanaongeleka,wanaume wa kibongo michepuko kama ibada tu!!
Msimwage mchele kwenye Kuku wengi itaneni chamber myaongee mkilisongesha kheir,ikishindikana kabisa siri yenu pia.
Na ndio maana nimetumia I'd hii kwa ajili yenu watu Kama nyie
lakini Rapunzel my dia ujue hamna binadamu mkamilifu,afu ndo vile tena wenzetu hawa kwa ujumla ni kama baba na mama yao mmoja(siwatetei) ndio mana wao wanakojoa wamesimama siye mchuchumao(siwatukani) ndivyo walivyo,MPE NAFASI YA MWISHO.... kosa la kwanza haliachi mke wala mume.MSAMEHE BIBIE.
Sina la kukujibu hapa ...sababu kipindi tumekutana hatukuleta ushuhuda kwamba tuko inlove
kwa sababu a thread containing important information
Mi nakuachia huyo hapoo
Rapunzel tumalize hii issue
Ni Kweli bado unanihitaji niwe nawe?
hata Kama hutojibu hapa let's talk on the phone
nakupigia ss hivi
Mi nakuachia huyo hapoo
Kirahisi rahisi hivi mbona jamaa inaonekana kakolea sana