Nisamehe popote ulipo

Mkuu story yako ndo kinachonitokea. What i do right now.... I kill her with kindness. Kila mda huwa anaona aibu... She feels so guilty. Na ananiona ni innocent guy. But end of the day huu mchezo hauhitaji hasira. Ila mto uzi ana roho mbaya sana.
 
Pumbavu mkubwa wewe. anna ni dadangu.kweli wewe ndo ulimfanyia ulimtesa sana dadangu.ameshaolewa na amempata mwanaume anajielewa.
Hongera zake Mkuu

Tamtafuta nimpe hongera.
 
Mkuu story yako ndo kinachonitokea. What i do right now.... I kill her with kindness. Kila mda huwa anaona aibu... She feels so guilty. Na ananiona ni innocent guy. But end of the day huu mchezo hauhitaji hasira. Ila mto uzi ana roho mbaya sana.
Sina roho mbaya mkuu.

Tatizo haujawajaua hawa viumbe kuwa wao ndiyo wana ukatili wa ajabu.
 
Ila kweli. Dah hii dunia hii
Yah Mkuu.

Kuna rafiki yangu mmoja hivi alipooza mwili yani kuanzia kiunoni kushuka chini. Baada ya kuwa hivyo mke wake badala ya kumsaidia akaanza kumletea dharau mkuu.

Akawa analeta wanaume ndani tena kwenye kitanda cha jamaa. Jamaa yangu wanashika miguu na mikono wanashusha chini.

Wao wanapanda juu kufanya yao.

Tangia hapo sitaki mchezo na hawa viumbe Mkuu.

Mama yao ni mmoja aisee kama wako hafanyi hivyo anaogopa cuz atampa kibano subiri upatwe na tatizo uone.

Ndiyo utajua makucha yake aliyaficha wapi.
 
huyu alotoa hii story nina uhakika ana miaka kati ya 23-26 (japo wapo wenye umri huu na wana busara), Na kama una umri Zaidi ya hapo huyo mwanamke atakaeolewa na wewe kala hasara, Aibu yani malipo duniani usicheze na chozi la mwanamke, halafu unajiona kidume unajisifia mmh, wewe ndio umemkosea badala kuwa mpole na kuomba msamaha ati bado unataka ukapewe mchezo, hayo ndio madhara ya kupenda mwanaume asiekupenda HAWEZI KUJALI MAUMIVU YAKO.
 
Hahaahhah

Bila shaka na wewe utakuwa single mother au wewe ni mtoto wa single mother!
 
WEWE NI MTU WA HOVYO SANA TENA UNA ROHO YA KINYAMA HUPASWI HATA KUSAMEHEWA. NAHISI NUSU YA MOYO WAKO NI MOYO WA CHURA AU KINYONGA MWENYE SUMU KALI. KUMBE KUNA BINADAMU WENYE ROHO MBAYA KIASI HIKI????
 
Mkuu

Inabidi unitafute tukanywe bia Vybes huku ukinieleza ni mdudu gani alikuingia kichwani siku iyo!!
Tutachekiana wkeend Mkuu.

Sema sasa hivi watoto wa SUA, MZUMBE, JORDAN si wamefunga vyuo Mkuu?

Maana hao ndiyo huwa wanapafanya panapendeza sana bumu likichelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…