Nisamehe popote ulipo

Nisamehe popote ulipo

Tutachekiana wkeend Mkuu.

Sema sasa hivi watoto wa SUA, MZUMBE, JORDAN si wamefunga vyuo Mkuu?

Maana hao ndiyo huwa wanapafanya panapendeza sana bumu likichelewa!
Mzumbe kule wapo mkuu
hua hawakatiki wao wanaita staggered semester [Second Semester For First Years]
 
Hahaahhah

Bila shaka na wewe utakuwa single mother au wewe ni mtoto wa single mother!
Sasa mambo ya single mother au kulelewa na single mother yanahusika vipi na hii story?? Ina maana wewe umezaliwa nje ya ndoa au umelelewa na single mother ndo mana una roho mbaya kwa wanawake, au mama yako alipokuzaa alikutupa ukalelewa na ndugu??? Sijakuelewa.
 
Yan ww n kilaza balaa, sasa unaomba msamaha wa kaz gan wakat lengo lako lilifanikiwa???
 
Sasa mambo ya single mother au kulelewa na single mother yanahusika vipi na hii story?? Ina maana wewe umezaliwa nje ya ndoa au umelelewa na single mother ndo mana una roho mbaya kwa wanawake, au mama yako alipokuzaa alikutupa ukalelewa na ndugu??? Sijakuelewa.
Hapana.

Nikuulize wewe!
 
Siwezi kukusamehe aiseee
Acha tu niende motoni kwa dhambi hii.....lol!
 
Na bado huo Ni mwanzo Tu,maana naona baada ya kunyooshwa Na maisha ndo unagndua kosa lako..!!
 
Sio siri nmetafuta tusi jipya la kukupa sioni,ila tu Mungu anakuona,inasikitisha sana sanaaa,leo hii bila aibu kabisaaa eti unaomba akutafute kweli kabisaa, kwann mnapenda kuchezea mioyo ya wenzenu jaman, kwann kwann,hv kweli unamtelekeza mtu katoka mbali kote na usikute hakuwa na ndugu, ubinadamu wenu uko wapi jaman
IMENIUMA SANA KAMA VILE NDO MM NLOFANYIWA
 
Tatizo nyie ving'ang'anizi sana.

Unaambiwa kwa ishara kuwa haupendwi bado huelewi nini kifanyike ili uwe muelewa vitendo tu.

Samahani kama nitakuudhi
 
Na bado huo Ni mwanzo Tu,maana naona baada ya kunyooshwa Na maisha ndo unagndua kosa lako..!!
Niko vizuri mkuu Nina uwezo wa kuwalisha na kuwavalisha nyumbani kwenu ndani ya miaka hata mia bila tatizo lolote.
 
Tatizo nyie ving'ang'anizi sana.

Unaambiwa kwa ishara kuwa haupendwi bado huelewi nini kifanyike ili uwe muelewa vitendo tu.

Samahani kama nitakuudhi
haaaaaaaa, sasa si ndo ameomba ushauri afanyeje?
 
Yaani umsave mzinguaji, akunyime papuchi kama adhabu sababu kimsingi hata wewe ungeseviwa hivo usingejisikia vizuri... Ndio umkatili dada wa watu kwa kumuacha sehemu bila nauli
 
Back
Top Bottom