Nisamehe popote ulipo

Nisamehe popote ulipo

Muuaji, mbona ulimrudia tena? Mtakufa kabla ya siku zenu kisa kuendekeza papuchi. Ulimshamsamehe ila kwa sababu aligoma kukupa mzigo ndo ukataka kumkomesha.
Sikumrudia ila nilikuwa tu nafaidi mafao ya uzeeni baada ya kustaafu.
 
Hiyo tumemuachia meya wa jiji la Dar Es Salaam hahaha
Shauri yenu nae atawaachia viongozi wa dini, hao nao watamuachia Mungu habari ndo itaishia hapo...mtaendelea kusemwa tu
 
Shauri yenu nae atawaachia viongozi wa dini, hao nao watamuachia Mungu habari ndo itaishia hapo...mtaendelea kusemwa tu
Maneno yangekuwa yanatoboa nahisi tungekuwa zaidi ya matenga sasa hivi. Wanasema sana halafu mwisho wa siku wa mkoani nao wanataka kuja Dar
 
Sio mbaya.

Ameacha tabia zake za ajabu ajabu?
Yan Unamsevu mzinguaji kisha unataka akupe mapenzi? Akikunyima unaanza kuonaa umeletewa tabia za ajabuajabu? dooh kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Tukisema unafikiria kwakutumia kwapa utakataa kweli
Hahahahah

Hapana Mkuu.

There was no evil intent Mkuu. Sema nilitaka kutoa fundisho kwa visichana vyenye njaa Kali ili wasiendekeze njaa sana.

Vinavyojifanya wazungu kumbe havina lolote.
 
Back
Top Bottom