Nisamehe popote ulipo

Nisamehe popote ulipo

Yaani umsave mzinguaji, akunyime papuchi kama adhabu sababu kimsingi hata wewe ungeseviwa hivo usingejisikia vizuri... Ndio umkatili dada wa watu kwa kumuacha sehemu bila nauli
Sijui hata ilikuwaje mkuu

Ila ilishatokea tayari.
 
Nilisha sema,, mwanamke yeyote yule,, siwezi mfanyia hivyo,, maana ninaupendo wa dhati,,nikisema nakupenda na kupenda kweli siwezi kufanya kitu kibaya zaidi hata kama unikatae,,ambacho hufanya ni kununua kitu,,kizuri hata cha hela ndogo nakumpa,,hata akikitupa,,naamin atanikumbuka tu pind aonapo sura yangu,,Ma X wangu woote wananipenda sana,,,ulichomfanyia mtoto wa kike ANNA,,, hata mimi sikusamehe,,, maana,, Wewe ni Muuwaji,, Je kama angeamua kujiuuwa,,Ungemuomba msamaha Nani? Omba msamaha muda mwafaka,,
 
Words!

Ila Anna ni MZINGUAJI hatari Mkuu!
 
Acha hizo wewe ndo ulimkwaza,,na kama ujuavyo,, tendo hilo unatakiwa uwe in Good mood,,hata vile adhabu ilikuwa kubwa mno
Nilimkwaza nini sasa Mkuu?

Kumsevu MZINGUAJI kuna kumkwaza hapo kweli?

Alitafuta tu sababu ya kuninyima papuchi Mkuu!
 
Nilimkwaza nini sasa Mkuu?

Kumsevu MZINGUAJI kuna kumkwaza hapo kweli?

Alitafuta tu sababu ya kuninyima papuchi Mkuu!
Kumbe tunashsili mtoto,,,achana na mimi kama huoni kosa lako,, ohooooo
 
Story yako iliendelea..dk ya 89 baaako napita maeneo ya stand namuona mtoto mkalii amejikunyata..

Dada mambo...poa samahani naomba niulize swali....nikajichukulia kiulaaani..nikamtawanya..asubuhi nikampakia akarudi dar.

Nimemega had alipoolewa juzi juzi
duh...we ni jinga kabisa
 
Habari zenu wakuu wa MMU. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote.

Lengo kubwa la kuanzisha huu Uzi ni kumuomba msamaha ex gf wangu tulieachana nae mwaka 2014.

Sio kwamba nataka turudiane bali ni kwa lile tukio lilotokea pale MSAMVU STAND baada ya kuwa tumegombana tukiwa Logde moja hivi nyuma ya msamvu.

Tuligombana baada ya kukuta nimemsevu mzinguaji na ukaamua kuninyima haki yangu( Papuchi) na kila nilipokuwa nataka kumshika au kumpapasa alipiga kelele na kupelekea wahudumu wa lodge kuja kutugongea mlango na kutushauri tuwe na ustaraabu kidogo tukiwa tunamega tunda kumbe hata sio kelele za kumega tunda.

Baada ya kama nusu saa hivi bila mafanikio yoyote niliondoka pale lodge kwa hasira sana nikielekea stand nipande daladala nirudi home.

Nikiwa natembea kwa unnyonge wa kunyimwa papuchi kisa tu kuseviwa MZINGUAJI nikasikia sauti toka nyuma ikiita mike..mike..Mike please naomba unisikilize.. kugeuka ni ANNA a.k.a madam. Bila hiana nikasimama ili nijue anataka kuniambia nini.

Akasogea karibu yangu ila akiwa amejawa na uso wa huzuni na majonzi..ndipo aliponiomba nimlipie nauli ya kurudi Dar na kunihakikishia kuwa hawakuwa na nauli hata shilingi moja nilifurahi kusikia hivyo nikakumbuka ule msemo kuwa "ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu"

Nikamwambia twende stendi usijali nitakulipia ingawa moyoni mwangu sikutaka nimlipie bali nimkomoe tu. Baada ya kufika stendi nikamwambia kana hapa ngoja nikatoe hela M-PESA nakuja ili tulipe nauli usepe.

Mtoto akanielewa na akawa ameketi kwenye kiti cha abiria katika kibanda cha kukatia tiketi kumbe ile ilikuwa ni gia ya kuondoka kwenda nyumbani na kumuacha pale. Alipiga sana simu nyingi lakini sikuona kama zina umhimu wowote kwangu maana alinidhalilisha sana.

Hivyo basi, mpaka leo hii sijui alifikaje mjini Daslam au alikuwa tu analeta ujanja wake ili nimlipie nauli wakati ameninyima papuchi.

Mwisho, najua sana uko humu wewe binti mzuri ANNA na unapendelea sana MMU. ukisoma thread hii nitafute kwa namba ileile tuombane msamaha vizuri.

Mike.

Nenda stand ya Msamvu utamkuta ulipomuacha pumbavu kabisa
 
Jamani hebu tuwe tunangalia watu wa kudate nao maana wengine ni vichaa nusu.
 
Jamani hebu tuwe tunangalia watu wa kudate nao maana wengine ni vichaa nusu.
Hahahah..

Kama ulivyo wewe Mkuu.

Bora wakuepuke kabisa maana ukichaa wako siyo.
 
Back
Top Bottom