Nisamehe popote ulipo

Nisamehe popote ulipo

Mbona Mimi enzi zangu nshatapeliwa Sana? Sijawahi kulipiza kisasi hata siku moja! Umeenda Mpaka hotelini uko nae na Mlikua mmeshaongea about a week or so na hio promise katoa yeye mwenyewe, mnafika mnachukua na kulipia room, mnaingia mnafika, unAjiandaa, unaanza utundu wako. Ghafla mwenzio anabadilika kama vile haelewi. Unabembeleza weee Matokeo yake unakua una buy time mtoke ili usionekane hujapewa. Si unajua kujishuku? Ukianza kuvaa nguo ili muagane anakujulisha kuwa hana nauli! Halafu kuna ile Pesa aliyokuomba kuna "vitu " anataka akanunuae! Dah, kiunyonge Sana unampa anakwambia haitoshi! Unajizuia usipandwe hasira, una mpa kisha hasemi hata asante. Mnavyotoka anakuomba ukamuache kituoni, unampakia, kwenye gari hamuongei, anakuuliza,. Mbona umenuna? Anakuomba msamaha kisha anaku promise next time!! Hahaahhaha unajiuliza, huyu mtu ni binadamu au jini? Ila huwa hatulipizi visasi, hio ndio maturity ya kiume na Law ya Hunter, amekosa leo, atapata kesho. No extra fighting,
 
Ulitumia pesa kama kigezo cha kumnyanyasa mwenzako.kwakuwa una hela basi uwe na madem kibao na wasiseme chochote hata wakikufumania kisa utawanyima nauli.childish stuff
 
Inawezekana hii ndo sku iloharbu maisha yake au ndo ilyompa ujasr wa maisha.
 
Wee mkuu mwanaume hasusi kwa mwanamke, ni udaifu mkubwa huo na pia shughuli uliiharibu wewe, ungejishusha tuu ukaomba msamaha na ungemwambia nilikusevu hivi majuzi tuu baada ya kua unanizingua sana, na wala sikuamini kama ungekuja kweli leo.
Ila kumwacha stendi ulibugi sana mkuu.
 
Habari zenu wakuu wa MMU. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote.

Lengo kubwa la kuanzisha huu Uzi ni kumuomba msamaha ex gf wangu tulieachana nae mwaka 2014.

Sio kwamba nataka turudiane bali ni kwa lile tukio lilotokea pale MSAMVU STAND baada ya kuwa tumegombana tukiwa Logde moja hivi nyuma ya msamvu.

Tuligombana baada ya kukuta nimemsevu mzinguaji na ukaamua kuninyima haki yangu( Papuchi) na kila nilipokuwa nataka kumshika au kumpapasa alipiga kelele na kupelekea wahudumu wa lodge kuja kutugongea mlango na kutushauri tuwe na ustaraabu kidogo tukiwa tunamega tunda kumbe hata sio kelele za kumega tunda.

Baada ya kama nusu saa hivi bila mafanikio yoyote niliondoka pale lodge kwa hasira sana nikielekea stand nipande daladala nirudi home.

Nikiwa natembea kwa unnyonge wa kunyimwa papuchi kisa tu kuseviwa MZINGUAJI nikasikia sauti toka nyuma ikiita mike..mike..Mike please naomba unisikilize.. kugeuka ni ANNA a.k.a madam. Bila hiana nikasimama ili nijue anataka kuniambia nini.

Akasogea karibu yangu ila akiwa amejawa na uso wa huzuni na majonzi..ndipo aliponiomba nimlipie nauli ya kurudi Dar na kunihakikishia kuwa hawakuwa na nauli hata shilingi moja nilifurahi kusikia hivyo nikakumbuka ule msemo kuwa "ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu"

Nikamwambia twende stendi usijali nitakulipia ingawa moyoni mwangu sikutaka nimlipie bali nimkomoe tu. Baada ya kufika stendi nikamwambia kana hapa ngoja nikatoe hela M-PESA nakuja ili tulipe nauli usepe.

Mtoto akanielewa na akawa ameketi kwenye kiti cha abiria katika kibanda cha kukatia tiketi kumbe ile ilikuwa ni gia ya kuondoka kwenda nyumbani na kumuacha pale. Alipiga sana simu nyingi lakini sikuona kama zina umhimu wowote kwangu maana alinidhalilisha sana.

Hivyo basi, mpaka leo hii sijui alifikaje mjini Daslam au alikuwa tu analeta ujanja wake ili nimlipie nauli wakati ameninyima papuchi.

Mwisho, najua sana uko humu wewe binti mzuri ANNA na unapendelea sana MMU. ukisoma thread hii nitafute kwa namba ileile tuombane msamaha vizuri.

Mike.

!
 
Back
Top Bottom