Nisamehe popote ulipo

Nisamehe popote ulipo

Heshima yako Mkuu.

Anna alikuwa na mambo ya ajabu sana Mkuu.

Nilishawahi kutimba kwake wkeend hivi kipindi hicho anasoma UDSM nikamfumania akiwa na Jamaa kugonga mlango ukafunguliwa nikaulizwa unataka nini?.. Mwenyewe yupo ndani ukazuka ugomvi wa hapa na pale kimtindo.

Nilishangaa ANNa anapiga kelele mwizi Mkuu sema kilichonisaidia wale majirani zake walikuwa wananijua sana na walikuwa marafiki. Wakawa wamenitetea basi likaisha nikasepa zangu Mkuu.

Wakati mwingine hawa viumbe wanatupa raha ila kaa nao kwa akili.
Alikuwa na lengo la kukuuwa...Kuna jamaa alipoteza maisha kwa kesi kama hiyo st agustine, Mwanza.
 
Is just "an"illution(stupid modderfucking pust)
Teh teh teh

Thanks a lot!

U have revealed your ignorance.

Where did u pick your English lesson?

U 'av to find Rasi simba.
 
Habari zenu wakuu wa MMU. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote.

Lengo kubwa la kuanzisha huu Uzi ni kumuomba msamaha ex gf wangu tulieachana nae mwaka 2014.

Sio kwamba nataka turudiane bali ni kwa lile tukio lilotokea pale MSAMVU STAND baada ya kuwa tumegombana tukiwa Logde moja hivi nyuma ya msamvu.

Tuligombana baada ya kukuta nimemsevu mzinguaji na ukaamua kuninyima haki yangu( Papuchi) na kila nilipokuwa nataka kumshika au kumpapasa alipiga kelele na kupelekea wahudumu wa lodge kuja kutugongea mlango na kutushauri tuwe na ustaraabu kidogo tukiwa tunamega tunda kumbe hata sio kelele za kumega tunda.

Baada ya kama nusu saa hivi bila mafanikio yoyote niliondoka pale lodge kwa hasira sana nikielekea stand nipande daladala nirudi home.

Nikiwa natembea kwa unnyonge wa kunyimwa papuchi kisa tu kuseviwa MZINGUAJI nikasikia sauti toka nyuma ikiita mike..mike..Mike please naomba unisikilize.. kugeuka ni ANNA a.k.a madam. Bila hiana nikasimama ili nijue anataka kuniambia nini.

Akasogea karibu yangu ila akiwa amejawa na uso wa huzuni na majonzi..ndipo aliponiomba nimlipie nauli ya kurudi Dar na kunihakikishia kuwa hawakuwa na nauli hata shilingi moja nilifurahi kusikia hivyo nikakumbuka ule msemo kuwa "ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu"

Nikamwambia twende stendi usijali nitakulipia ingawa moyoni mwangu sikutaka nimlipie bali nimkomoe tu. Baada ya kufika stendi nikamwambia kana hapa ngoja nikatoe hela M-PESA nakuja ili tulipe nauli usepe.

Mtoto akanielewa na akawa ameketi kwenye kiti cha abiria katika kibanda cha kukatia tiketi kumbe ile ilikuwa ni gia ya kuondoka kwenda nyumbani na kumuacha pale. Alipiga sana simu nyingi lakini sikuona kama zina umhimu wowote kwangu maana alinidhalilisha sana.

Hivyo basi, mpaka leo hii sijui alifikaje mjini Daslam au alikuwa tu analeta ujanja wake ili nimlipie nauli wakati ameninyima papuchi.

Mwisho, najua sana uko humu wewe binti mzuri ANNA na unapendelea sana MMU. ukisoma thread hii nitafute kwa namba ileile tuombane msamaha vizuri.

Mike.
Zero wisdom
 
Nilishasema humu, "Nyie wadada mara nyingine muangalie na wanaume wa kudate nao"
 
Pumbavu mkubwa wewe. anna ni dadangu.kweli wewe ndo ulimfanyia ulimtesa sana dadangu.ameshaolewa na amempata mwanaume anajielewa.
 
Mwanamke: We mwanaume gani, katika wanaume na we unajihesabu umo, mpuuzi ,loofa tu wewe, hayawani mkubwa,muone vile, boyaa wa analog wewe, hebu niondokee kwanza.

Jamii: Kimyaaaaaa

Mwanaume: Unajua we mwanamke unazingua

Jamii: Hapana hazingui, we mwanaume mkatili sana, hujui haki za binadamu, amekufanya nn mpaka umuite mzinguaji, shika adabu yako, usiwe mwana haramu wewe, badilika wewe.
 
Back
Top Bottom