Nisamehe popote ulipo

Nisamehe popote ulipo

Mtoa mada ni fala sana kwenye maisha,hata kama ulinyimwa ni kutokana huo huo ufala wako wa kumdharau mtu unaempenda kwa kum-save kikejeli,ulipaswa uhakikishe mtu aliyekuheshimu akafuata mpaka MKOANI kwenu anarudi salama.
Naamini katika siku yoyote tangu uzaliwe ulishachezewa kijambio mara moja au zaidi.
 
Kabla hujamfanyia ubaya mwenzio fkiria yakikupata wewe? Ukweli unatakiwa ujifunze roho.nzuri, dunia hii sio ya kumfanyia mtu tena mwanamke hivo
Surely I will never be as you have insinuated brother 'cause women are just like demented person.
 
Mtoa mada ni fala sana kwenye maisha,hata kama ulinyimwa ni kutokana huo huo ufala wako wa kumdharau mtu unaempenda kwa kum-save kikejeli,ulipaswa uhakikishe mtu aliyekuheshimu akafuata mpaka MKOANI kwenu anarudi salama.
Naamini katika siku yoyote tangu uzaliwe ulishachezewa kijambio mara moja au zaidi.
Of course not.

I am your father so show some respect man.
 
Habari zenu wakuu wa MMU. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote.

Lengo kubwa la kuanzisha huu Uzi ni kumuomba msamaha ex gf wangu tulieachana nae mwaka 2014.

Sio kwamba nataka turudiane bali ni kwa lile tukio lilotokea pale MSAMVU STAND baada ya kuwa tumegombana tukiwa Logde moja hivi nyuma ya msamvu.

Tuligombana baada ya kukuta nimemsevu mzinguaji na ukaamua kuninyima haki yangu( Papuchi) na kila nilipokuwa nataka kumshika au kumpapasa alipiga kelele na kupelekea wahudumu wa lodge kuja kutugongea mlango na kutushauri tuwe na ustaraabu kidogo tukiwa tunamega tunda kumbe hata sio kelele za kumega tunda.

Baada ya kama nusu saa hivi bila mafanikio yoyote niliondoka pale lodge kwa hasira sana nikielekea stand nipande daladala nirudi home.

Nikiwa natembea kwa unnyonge wa kunyimwa papuchi kisa tu kuseviwa MZINGUAJI nikasikia sauti toka nyuma ikiita mike..mike..Mike please naomba unisikilize.. kugeuka ni ANNA a.k.a madam. Bila hiana nikasimama ili nijue anataka kuniambia nini.

Akasogea karibu yangu ila akiwa amejawa na uso wa huzuni na majonzi..ndipo aliponiomba nimlipie nauli ya kurudi Dar na kunihakikishia kuwa hawakuwa na nauli hata shilingi moja nilifurahi kusikia hivyo nikakumbuka ule msemo kuwa "ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu"

Nikamwambia twende stendi usijali nitakulipia ingawa moyoni mwangu sikutaka nimlipie bali nimkomoe tu. Baada ya kufika stendi nikamwambia kana hapa ngoja nikatoe hela M-PESA nakuja ili tulipe nauli usepe.

Mtoto akanielewa na akawa ameketi kwenye kiti cha abiria katika kibanda cha kukatia tiketi kumbe ile ilikuwa ni gia ya kuondoka kwenda nyumbani na kumuacha pale. Alipiga sana simu nyingi lakini sikuona kama zina umhimu wowote kwangu maana alinidhalilisha sana.

Hivyo basi, mpaka leo hii sijui alifikaje mjini Daslam au alikuwa tu analeta ujanja wake ili nimlipie nauli wakati ameninyima papuchi.

Mwisho, najua sana uko humu wewe binti mzuri ANNA na unapendelea sana MMU. ukisoma thread hii nitafute kwa namba ileile tuombane msamaha vizuri.

Mike.

Hakika hutakaa usamehewe ..chozi la huyo mwanamke litakutafuta popote pale ulipo...hutadumu katika mahusiano yako hata kidogo....utateseka sana kwenye ndoa yako...hakika utajutia kumfanyia hivyo huyo binti...
 
Hakika hutakaa usamehewe ..chozi la huyo mwanamke litakutafuta popote pale ulipo...hutadumu katika mahusiano yako hata kidogo....utateseka sana kwenye ndoa yako...hakika utajutia kumfanyia hivyo huyo binti...
Binti wa kirombo,

Ndio unanipa laana?

Ingawa laana kwangu is just a illusion thing so I don't *** with it.
 
Back
Top Bottom