Nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kijallo, Aug 30, 2011.

 1. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nina mpenzi ambaye ni mkubwa kiumri miaka kama 7.je nimuoe
   
 2. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani wewe unaonaje..
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tatizo sio tofauti ya miaka,
  wewe una miaka mingapi naye anamiaka mingapi,
  hiyo ndio ishu naiona hapa
  +/- 7 is not an issue
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mhhh swali je na yeye ana miaka mingapi isije ikawa yeye ni kibabu
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  kupenda upende wewe,sisi tukuamulie,mbona haingii akilini?jee mwanzo hukumuona kama mkubwa?amua wewe mwenyewe
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Katika hali ya kawaida... na in the case ya ndoa... age ni muhimu
  saaana kuichukulia in consideration.. But hata hivo age pake yake
  haitoshelezi maamuzi, for kuna factors na aspects zingine za muhimu
  ambazo huenda sambamba... kama hizo the later zina nguvu saana
  then hata age yaweza kua very minor...
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Sikiliza moyo wako...
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sawa AshaDii,

  Ila kwangu age ni factor ya muhimu sana...iko kwenye top 3 criteria!!

  Kama ningerudishwa kwenye game la kuchagua wachumba...never ever, nisingeweza kuoa dada ambaye tunalingana achilia mbali kunizidi umri!!

  Sie tulio kwenye game kwa zaidi ya muongo mmoja tunajua maana yake.....!!
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mzee DC ukiangalia in between post yangu utakuta kua uloongea nalo nakubali... but sometimes kuna forces zingine ambazo zina nguvu kuliko kupishana kwa age... What do you do unakuta kua Mkaka ana mahusiano mazuri saana na mwanamke ambae kamzidi lets say four years i.e 30 years Vs 34... Hawa watu wana mahusiano maybe for more than two years... na wao wako compactible kasoro tu ukija issue ya age... Kwamba waachane tu sababu mwanamke ni mkubwa kuliko???

  If you don't mind haka ka ubongo kako very curious kujua the rest ya hio top three criteria....

  Habari yako bana....
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Katika mazingira kama hayo..ni vigumu hao watu kutengana kwa sababu hilo suala la umri linakuwa halina uzito tena...Unajua wanaume wanapoteza sana mwelekeo wakishakaa na mwanamke na kuzoa kupewa dinner ya bure (free and unconditional dinner). Ila hiyo euphora ikiisha lazima uzee wa mke au mpenzi wake auone....Sitaki kusema zaidi ila ukweli uko hivyo!!

  Kumbe unataka vigezo vya babu (bila kujali kama ni vya mwaka 1947)????

  1. Uzuri wa sura.....(hakuna mtu anayeweza kula chakula ambacho hakijamhamasisha)
  2. Uzuri wa tabia...(baada ya kushiba sura, huu ndio uziri halisi wa mwanamke...kwa vigezo vya babu DC)
  3. Umri (kwangu ilibidi awe mdogo kwa zaidi ya miaka 2, kwa hiyo nilijipa range of 2-7 years). Hakutakiwa kuwa mdogo kwangu kwa kiasi cha miaka 10 kwani sikuwa tayari kucheza kidali po kwenye ndoa!!!

  Umenipata?????????
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  DC yawezekana i am old traditioned as much as sio wa mwaka 47... Personally siamini in a man depending on me... eti ni provide kila kitu sababu tu ni mvivu wa kufanya kazi... napenda mwanaume alo mwanaume katika kila aspect... hivo naungana na post yako... Mwanaume tusaidiane kama hana uwezo for maisha sasa ni magumu.. Na anitegemee pale ambapo labda mambo/kazi zake zimeenda vibay- for then i know kua hata yeye pia hajapenda. But kama mwanaume huyo yupo comfy kukutegemea kwa yoote - ina maana mwanamke ndio uko in control... na mwanamke tu akiwa ni control katika relationship... IMO Naona unakosa baadhi ya uhondo wa kua mwanamke...

  Hivo vigezo vyako ambovo ni top three.... Nimevikubali aaiisee....lol... Hio ya tatu... nakubaliana nawe... tena on my side napenda anizidi kabisa... hata kama ni five to seven years... for naona the more the age the more the maturity in mambo meeengi... (thou sio woote)... Hivo nimekupata kabisa...

  Hata hivo Mzee DC hujanijibu bado... Mzima wewe??
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mzima sana tena sana,

  Karibu idd..huku kwetu mwezi tuliuona jana.....Sijui kwenu????!!!!
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Huku nilipo... nipo kushoto lolote niambiwalo nakubali tu...
  Hata hivo Eid ndo kesho kwa pande zangu...
  Sababu yako isha tokea ina maana nimechelewa hayo
  makaribisho.. Hivo naona nikukaribishe wewe...

  Karibu saana.
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Naomba ramani kwa PM,

  Zamani nilikuwa mpenzi wa minuso,

  Ila wewe unapika saa ngapi hiyo minuso wakati tunakuwa wote hapa MMU??? Au utaagiza take away!!
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  tangu mwanzo hukumuona kua ni mkubwa ki umri..................
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ha ha ha... Hii post has made my day...
  for believe me you... imenitoa tear.... Dah!

  How i wish you just knew....

  And of course niko kuandaa usafiri wa pm...
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  mpaka hapa inaonyesha kuwa haupo comfortable na huyo mwanamke na ndo maana umekuja kuuliza hili swali! Laiti kama ungekuwa comfortable na unaona fahari kuwa nae, basi sasa hivi ungekuwa unaongelea ndoa! Ushauri wangu, fata moyo wako unavokwambia.......kama umeridhia muoe, if not muache!!
   
Loading...