Kaka umetendwa nini, toka lini ukawa mbosso khan 😁Kiangalie kiganja chako cha kushoto halafu kikumbatie
Hizo hisia utakazopata ndiyo mapenzi yenyewe hayo
Kwanini kaka 😂 vina vingi auKaka umetendwa nini, toka lini ukawa mbosso khan 😁
😁😁mwamba kachanaKaka umetendwa nini, toka lini ukawa mbosso khan 😁
Naona unatema vina vya mahaba 😁Kwanini kaka 😂 vina vingi au
Sana, 😁😁😁mwamba kachana
We ulisikia wapi? Mbona hayapo?Nina miaka 30 sijawai kuwa na mpenzi toka kuzaliwa ila naskia tu kunakuwaga na mapenzi.
Ila siyajui yapoje maana sielewi ......?
Mapenzi ni kuchanganyikiwaWe ulisikia wapi? Mbona hayapo?
Kabisa🤣Mapenzi ni kuchanganyikwa
😁 ajue hivyo basiiiKabisa🤣
Mtoto anautaka, msijifanye hamuelewi.😁 ajue hivyo basiii
Mimi sihusiki kabsa shindiiMtoto anautaka, msijifanye hamuelewi.
Shindii usijitoe ufahamu kabisaaa🤣Mimi sihusiki kabsa shindii