AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 591
- Thread starter
- #101
At least wee jamàa umevaa viatu vyangu. Umeangalia hili suala kwa jicho la tofauti.Umejuaje mtoa mada anajua kingereza?
Wanaume tumeumbiwa tamaa,kugawa upendo kwa wanawake wawili ni kitu cha kawaida sana,katika wanaume 10 ni nan mwenye mwanamke mmoja (tuseme ukweli bila kuficha ),hili jambo la mahusiano zaid ya mwanamke mmoja kwa kweli ni sifa yetu wanaume,hata vitabu vingi vya dini utaona mitume walifanya hivyo.
Sasa nashanga kuna baadhi ya malaika humu jf wanamshambulia ambapo ukweli unawezakuta mtu ana michepuka hata minne.
"We tuliza akili,sikiliza moyo wako unamtaka yupi,najua uwezi kuwapenda wote sawasawa"
Hivi mtu utajuaje kuwa chakula hiki ni kitamu zaidi ya kingine bila kuonja vyote Kisha uchague kimoja kilicho Bora zaidi ya kingine?

