Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
😅 😅
Hivii una nini lakini.? Zile busara zako zilizoingiza gia sikuhizi ziko wapi??
😅 😅
Mbona nimeshauriwa mambo yamaana mengi tu na wanaume wenzangu Tena mengine hata sikufikiria Kama yangefaa, baada ya stage hii itafuata stage ya kuamua mwenyewe zipi pumba na zipi mchele na kuchukua maamuzi. Punguza ubinafsi mkuuKajirekebishe kwa MUNGU siyo kwetu. Watu watakusaidia nini sasa kwa dhambi zako,wanaume tukifanyaga makosa juu ya mambo haya tunayamalizaga kiume sisi wenyewe,kweni hukuumbiwa hekima na akili? Hili husaidiwi na watu,ni wewe mwenyewe.
😂😂😂😂 Asante
Ahahahahah..hujui kwamba ili usibebe lawama basi ni lzima kujal kutangulie kwanzaOhooo..!
Kumbe ni unaogopa lawama na si kwamba unajali,
Ushauri mzuri lakini umeasume kuwa sababu zingine zipo constantHakikisha wanajuana au wagonganishe pamoja atakae kusamee huyo ndio mke anaweza kuvumilia makosa yako na kukuheshimu
Mbona nimeshauriwa mambo yamaana mengi tu na wanaume wenzangu Tena mengine hata sikufikiria Kama yangefaa, baada ya stage hii itafuata stage ya kuamua mwenyewe zipi pumba na zipi mchele na kuchukua maamuzi. Punguza ubinafsi mkuu
Ahsante kwa complement CarleenBro, umeoa???
Kama bado 'yes I do'..! 😀
Hahahaha..Ahahahahah..hujui kwamba ili usibebe lawama basi ni lzima kujal kutangulie kwanza
Hujaona wala kusikia mambo ya kutisha wanayofanyiwa wanaume wenzangu Tena kuliko Haya?Ona ukatili wa wanaume
Ana anado inamaliza kila kitu au we unasemaje Mama lao![]()
![]()
Hivii una nini lakini.? Zile busara zako zilizoingiza gia sikuhizi ziko wapi??
Kwahiyo hapo unajiona Wewe Bora?Hujaona wala kusikia mambo ya kutisha wanayofanyiwa wanaume wenzangu Tena kuliko Haya?
Ubaya hauna jinsia wapo wanaume wema sana pia wapo wanawake manyang'au Bora hata mimi
😍 😍Ahsante kwa complement Carleen
Kiukweli sijaoa, ila nipo kwenye mahusiano sugu tangu 2014😀.
Nimepitia nyuzi zako za nyuma Carleen, trust me...wewe ni full package; good brain, charisma & bila shaka you beauty (Japo hapa kila mmoja ana mtazamo wake) kama bado hayupo ndugu yangu, I promise you...ni suala la muda tu
Sijajua lengo la kumtambulisha mmoja kwa mama na mwingine kwa baba ni lipiMtambulishe mmoja kwa mama mwingine kwa baba, maana Kama umekosa uchaguzi sisi tutacguaje
Ahaha.ndio mana nikakuambia,watch out..it is a trap..Hahahaha..
Sitaki kuamini ndiyo nishapigwa sound hivii mchana kweupe na mimi nataka kuamini.!
Chagua mwenye tako kubwa zaidi ya mwenzie. Kigezo hiki ndio kimebaki
Kwan we unamshauri vp?!Kwahiyo hapo unajiona Wewe Bora?
Mimi ni muoaji haswaa ila tu nahitaji best choiceUshauri mubovu huu asijaribu awaache kimya, wewe ungefanyiwa hvo ungefurahi. Hapo hawapendi wote, aachanr nao in peace Kuna Leo na kesho, angekuwa muoaji asingejifikiria hvo. Hafu mtu kukaa kimya haimaanishi kakusamehe wanawake hulipiza ndoani wakati umezama