Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Waite wote kwa pamoja uwaambie ukweli. Wao ndio wawe kuchagua yupi wa kuenda na yupi wakubaki. Ila vaa chupi ya chuma maana wanaweza kukuchangia wakukate mgegedo uishie kuwa demu kama wao.
Mmmmh hiii ni hatari zaidi ya kujipalia makaa ya moto mkuu hunitakii mema
 
Achana nao wote tafuta mwengine.kinyume na hapo karma itafanya kazi yake.
 
AKILI KIJIKO,

Kwanza njia zako zote unazotumia zina makosa,kuanzia kua na wanawake wawili, kutafuta kosa la mtu ili umuache hayo yote ni makosa uliyafanya wewe mwenyewe,sasa watu wakusaidie nini? Yani siku hizi mtu unaomba ushauri watu wakusaidie kutatua dhambi zako? Aisee
 
Mimi siamini katika hicho ulichokisema kwamba wote wana vigezo sawa, yaani wafanane kwa kila kitu! Kwamba tabia na uzuri wanafanana. Mchague mwenye vigezo vingi zaidi kuliko mwingine. Fanya maamuzi sahihi.
 
In the first place you are just a selfish nigga

You are such an idiot that you are playing with two of them.

You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.

Don’t You have your self respect?

How can you do such shit and without guilt you are roaming around?..
Asante sana kwa ushauri wako japo ushauri wako umenifanya nijihisi mkosaji nisiyestahili kusamehewa. Umenifanya nijichukie mwenyewe na sijui nianzie wapi kurekebisha makosa niliyoyafanya.
 
In the first place you are just a selfish nigga

You are such an idiot that you are playing with two of them.

You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.

Don’t You have your self respect?

How can you do such shit and without guilt you are roaming around?

Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?

Do you even think just for once for being such a jerk?

I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.

Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!

And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.

God knows how you look at yourself.
Umejuaje mtoa mada anajua kingereza?

Wanaume tumeumbiwa tamaa,kugawa upendo kwa wanawake wawili ni kitu cha kawaida sana,katika wanaume 10 ni nan mwenye mwanamke mmoja (tuseme ukweli bila kuficha ),hili jambo la mahusiano zaid ya mwanamke mmoja kwa kweli ni sifa yetu wanaume,hata vitabu vingi vya dini utaona mitume walifanya hivyo.

Sasa nashanga kuna baadhi ya malaika humu jf wanamshambulia ambapo ukweli unawezakuta mtu ana michepuka hata minne.

"We tuliza akili,sikiliza moyo wako unamtaka yupi,najua uwezi kuwapenda wote sawasawa"
 
Weka kwenye mzani hasa kwanye matumizi ya pesa wote wape pesa yenye dhamani sawa mfn 500k Kisha angalia Nani atafnya kitu ya maana huyo ndo mke chukua haraka sna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm ilinitokea niko chuoni, nilikuwa nao wawili, mmoja nilimwambia nataka mtoto akagoma akasema muda bado, nikamfuata wa pili nikampa mimba hapo chuoni tukisoma wote.

Nikaanza kuwaza nitafanyaje ili nibaki na mmoja?, nikashangaa siku moja yule wa kwanza ananipigia simu na kuniambia yuko kwa mpenzi wake.

Nikamuuliza huyo mpenzi wa kike wa kiume? Akasema ni wakiume, nikakata simu ndio ikawa mwisho wa mahusiano.

Akaanza kuniomba radhi lakini wapiii
Labda kwakuwa akili zangu ni ndogo lakini sijaambua kitu kutoka katika mfano huu

Kila nikijaribu kuconnect matukio holaaa
 
In the first place you are just a selfish nigga

You are such an idiot that you are playing with two of them.

You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.

Don’t You have your self respect?

How can you do such shit and without guilt you are roaming around?

Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?

Do you even think just for once for being such a jerk?

I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.

Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!

And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.

God knows how you look at yourself.
Hivi wewe hicho kizungu shule ulitulipia ada? Tupishe
 
Sasa kwani wote uliwapa ahadi ya kuwaoa??? Kama uliwapa ahadi ya kuwaoa wote wewe ni dhaifu sana
Ni watu wanaojielewa sana nisingeweza kuwa nao bila kuwapa ahadi ya kuwaoa

Ikiwa mimi ni binaadam udhaifu ni moja kati ya sifa zetu sisi wanadamu. Unahisi wewe ni mkamilifu?
 
In the first place you are just a selfish nigga

You are such an idiot that you are playing with two of them.

You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.

Don’t You have your self respect?

How can you do such shit and without guilt you are roaming around?

Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?

Do you even think just for once for being such a jerk?

I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.

Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!

And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.

God knows how you look at yourself.
Ungeitafsiri hii kwa lugha yetu ingewasaidia wengi sana,hasa hapa: "I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!".....
 
Back
Top Bottom