Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Nisaidieni nakaribia kuumbuka

AKILI KIJIKO,

Kwanza njia zako zote unazotumia zina makosa,kuanzia kua na wanawake wawili, kutafuta kosa la mtu ili umuache hayo yote ni makosa uliyafanya wewe mwenyewe,sasa watu wakusaidie nini? Yani siku hizi mtu unaomba ushauri watu wakusaidie kutatua dhambi zako? Aisee
Sasa nifanyeje na tayari nimesha haribu kwahiyo sistahili kuishi au kusamehewa na kupewa nafasi ya kurekebisha makosa yangu?
 
Kajirekebishe kwa MUNGU siyo kwetu. Watu watakusaidia nini sasa kwa dhambi zako,wanaume tukifanyaga makosa juu ya mambo haya tunayamalizaga kiume sisi wenyewe,kweni hukuumbiwa hekima na akili? Hili husaidiwi na watu,ni wewe mwenyewe.
 
Habari gani Watanzania wenzangu.

Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.

Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.

Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja

Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?

Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
Hakikisha wanajuana au wagonganishe pamoja atakae kusamee huyo ndio mke anaweza kuvumilia makosa yako na kukuheshimu
 
Weka picha zao basi.

Ushauri mubovu huu asijaribu awaache kimya, wewe ungefanyiwa hvo ungefurahi. Hapo hawapendi wote, aachanr nao in peace Kuna Leo na kesho, angekuwa muoaji asingejifikiria hvo. Hafu mtu kukaa kimya haimaanishi kakusamehe wanawake hulipiza ndoani wakati umezama
 
Unapotoa ushaur kuna namna mbili kuukataa au kuukubali huu ushaur ni mbovu kwako kwangu ndio nimeona uko vr
 
Back
Top Bottom