nisaidieni na hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni na hili

Discussion in 'JF Doctor' started by oldd vampire, Jun 29, 2011.

 1. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wana jf doctor,tatizo langu ni hili sijawahi fika orgasm tangu nianze kufanya mapenzi..na si kwamba mpenzi wangu haniandai vizuri hapana.yani inafikia kipindi tupo kusex nakua km nakarbia fika orgasm lakini ghafla ile hali inakata...je ninatatizo gani?mana nimesha uliza sana nikaambiwa nina upungufu wa hormone je ni kweli?
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole sana ukipata nafasi NIPM nikupe maujanja na ili kujua yamework itabidi nikutest kwanza.
   
 3. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha utani sokomoko
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Tehe!

  Tehe!

  Tehe!
  Hii ndo jf bana looo.. Mwenzio yupo serious anasubiri jibu we waleta utani?
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .........pole sana, sasa kama hufiki orgasm unaenjoy vp mchezo? Mimi nadhani wewe mwenyewe hujiandai vya kutosha kiakili. Kipindi cha mchezo inabidi akili yako yote uweke pale usiwaze kitu kingine.
   
 6. njiro

  njiro Senior Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mwambie mkunaji akushukie (uvinza), akya-nani lazima urudishe jibu humu. Ila asiwe anaona kinyaa. Believe me Kama nyumba yako haina ddari majirani watasikia unavyonena kwa Lugha. Just give it a try, usiangamie kwa kukosa maarifa.
   
 7. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nafikiri ungepeleka kule kwa wakubwa ungejibiwa vizuri zaidi si unajua kule kuna wataalamu tena kwa uwazi utapata utakacho.
  hapa unaweza usifikie lengo.
   
 8. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanks jamani ntafanyia kazi ushauri
   
 9. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yan si enjoy chochote kabisa..namridhisha yeye tuu
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  nenda kamuone dr unaweza kuwa na tatizo la kiafya.
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  nimepita hapa.
   
 12. k

  kamili JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Tafiti nyingi zimefanyika kuhusu suala la orgaism kwa wanawake (na wanaume pia). Tafiti zinaonesha kuwa mpaka asilimia 50% au zaidi ya wanawake hawapati orgaism katika hali ya kawaida, na hao wanaopata orgaism wachache sana 15% au pungufu kati yao hufikia kupitia kuingiliwa ukeni, baadhi hupata kupitia clitorial stimulation, baadhi yao kuchezewa matiti au nywele au makalio au mapaja au kukandwa mgongoni au kimoja kati ya hivyo au vyote!
  Na hao wanaopata orgaism kwa kuchezewa sehemu fulani ya mwili nao hawako sawa. kwa mfano kuna wengine wanapata orgaism kwa kunyonywa matiti lakini mwingine naye anapata orgaism kupitia matiti lakini siyo kwa kunyonywa bali kwa kupapaswa matiti!!! Na hata hao wanaopata orgaism kwa kuingiliwa na uume nao hawako sawa, wapo wanaopata orgaism kwa kuingiliwa juu juu tu, wapo wanaopata kwa deep penetration, wangine kwa medial penetration. Na tena wengine wanapata orgaism kwa kuingiliwa poolepole, wengine kwa forcefull thrusting!

  Na tena wale wanaopata orgaism wengine wanapata katika sekunde chache za mchezo na wengine huchukua dakika kadhaa au masaa kadhaa ua hata siku kadhaa. Na tena wengine wanapata orgaism nyingi kwa tendo moja wakati kuna wengine wangine wanambulia orgaism moja tu kwa tendo.

  Kwa ufupi ni kuwa wanawake hawako sawa katika kuifaidi ngono! (Na wanaume pia) Hivyo huna tatizo isipokuwa usijilinganishe na wanawake wengine na usijaribu kumuiga mwanamke mwingine. Bahati mbaya sana na wanaume wengi hudhani wanawake wako sawa hivyo hujaribu kutumia formula moja kwa kila mwanamke!

  Hata hivyo kwa maelezo yako (kuwa kuna wakati unahisi halafu inapotea) naamini wewe ni miongoni mwa wale wanaopata orgaism, hivyo jaribu kutafakari ni wakati gani unahisi hivyo hali, ni wakati wa deep penetration? or superficial, or non genital stimulation, or at which position etc.

  Wapo wanawake wanapata orgaism sasa baada ya ndoa ya zaidi ya miaka 20!!!! Achana na habari ya upungufu wa hormone. Jipeleleze mwenyewe ukishirikana na mwenzako na utafaidi vizuri.
  Samahani kwa maelezo marefu.
   
 13. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kamili.. Wewe ni mtaalamu nimekupata
   
Loading...