ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,661
- 127,416
Waarabu na wazungu wametutia upofu na ujinga ambao hatuwezi kujinasua. Wenyewe kuna vitu wameleta lakini hawavifanyi huko kwao.
Maisha ya kuunga lakini unajibebesha mizigo ya kujitakia. TV, cable unanunua kwa kuunga then unadhani tayari pesa imekupitia.
Hizi imani...
Maisha ya kuunga lakini unajibebesha mizigo ya kujitakia. TV, cable unanunua kwa kuunga then unadhani tayari pesa imekupitia.
Hizi imani...