Good reasoningPamenifurahisha pale ivi eti TV na friza vimliwaze na pale ivi nimuweke mjane hahaha kwani mtu akiachika siku izi anakuwa mjane
Muwe mnatusamehe jamani daah!!kwakweli sometimes muwe mnafikir kabla ya kutenda saa nyingine maamuzi mnayoyafanya mnawaumiza wake zenu usifanye kitu kwa kuiga hapo mke alitegemea atapata unafuu baada ya mume kupata kaz kumbe ndio kwanza mume hajitambui anachokifanya hakijui
Tuanzie apo kwenye Tv, friza na cable umeweka kwa mke mkubwa tu imuliwaze ama na mke mdogo umemununulia?? Pili huna zaid ya miaka 2 kazini na umeongeza mke wa 2. Jiandae tu kuishi kama mzuka, usitarajie kuendelea kuona upendo na furaha kutawala maisha yako na mke mkubwa kama zamani. Hapo umejiongezea stress, pressure na kukarbisha uzeee. Ukimwacha mke mdogo hautabaki salama na mke mkubwa akiondoka pia hautabaki salama.
jamani lazina kwanza tufahamu kua dini imeruhusu mke zaidi ya mmoja sio kwa sababu tu mmoja anamatatizo.bali hilo ni jambo lakimaumbile kutokana na asili ya maumbile ya mwanaume haridhiki na mmoja.sasa ili kuzuia uchepukaji ndio ukawekwa mlango huo kwa mtu muadilifu.kiukweli ndugu umekosea sana kwa maamuzi yako yaliyo na uchache wa tafakuri japo sio muda wakukulaumu sababu tayari ishatokea.chakufanya kwa sasa ni kukiri mbele ya mkeo kwamba umemkosea na jitahidi kumuonyesha mapenzi zaid.lakini pia lazima kutakua na ustadh au sheikh ambae anamkubali sana,jaribu kumuomba sheikh ampe nasaha natumai itasaidia.pia muombe mungu alete utulivu kwenye ndoa yenu.ila siku nyengine usiwe mtu wakukurupuka.
Mbona komenti yako ina mix ujumbe?? Kuna jambo unataka kutwambia hapa sema thread hazijamechipunguani na nusu wewe( kama ban poa) shenzi kabisa mtu kakuvumilia umevaa chupi moja kapauka leo umeweza kununua kitv cha chogo tena unajifanya inasimama sana? ndo mana watu wengi hawana huruma na mwanaume asiye na hela yakutunza familia full. rip huko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amini nakuambia siku yatakapokukuta utakumbuka maneno yako na utatamani uyameze. Maisha haya ya kukimbizana muda hautoshi kuanza kuchokana na mume hasa kama mnapendana kwa dhati na kila mmoja anatambua wajibu wake kwenye ndoa. Nikimpenda nitatamani niwe na yeye kadri ninavyoweza, nisongependa mapenzi yake kwangu yagawanywe mara mbili. Lakini kama si mapenzi ya kweli lazima tutachokana
Ok yeye ameoa, amepunguza concetration kwa mtu mmoja je wewe unapunguzia wapi??Mhhh my dear angry bird foristance mime ishi miaka sabaa or kumi or mitano duuh utakua hujamchoka tu huyo mwanaume? Duuh nafkiri mungu alituumba tuje kuishi huku duniani jamani huezi kuishi miaka yt hyo kama mfungwa lazima upate freedom. So akioa kdg inapunguza concentration kwa mtu mmoja
wengi kwenye jukwaa hili watakudhambulia tu, badala ya kukupa ushauri. kijana hapo sasa unatakiwa kuonyesha uwanaume wako, be strong bro. ongea vizuri na bi mkubwa, wanawake wengi kwenye hili wanapenda kukuwekea masharti fulani fulani, muulize yeye anataka uumfanyie nini ili atulie? na ndoa yenu iendelee kuwa na amani kama mwanzo? alafu kipindi cha mwanzo cha kuongeza mke ndio kinavyokua ni kipindi kigumu sana, usipokua makini unaweza kumuacha mmoja. Vumilia brother ni kipindi cha mpito tu utakuja kuenjoy baadae mambo yakikaa sawa. usiwe mwepesi wa kutoa talaka katika kipindi hiki kwa vile ujafanya kosa lolote umetekeleza ruhusa yako uliyopewa na mola wako. wengi wanaokuambia umefanya kosa wanamichepuko kibao na wanaona wao wapo sawa kuliko wewe uliyeoa kwa sheria.
Ongera sana brother kwa kumnusuru na kumsitiri huyo binti mwingine una malipo yako mazuri mbele ya mola wako.
Teh teh..Nahisi itakuwa hivyoAlipata kazi akaamua kuoa....
Hahahah hivi dini inawaambia wakipata kazi waoe????? mbona wanachakachua mchana kweupe???
Mwisho siwanne na kijiajira unacho hofu yako nini? Ongeza mwingine kitaelewekatu. Badala ya kuleta maendeleo kuikimbia dhiki uliokuwanayo kijiajira unaongeza mke!!! Siku kikiisha?