Nisadieni ndoa yangu inavunjika

Nisadieni ndoa yangu inavunjika

Yaani mwenzenu swala LA mime kuoa mke was pili mm wala silichukii iswear sijui kwann yaani nashukuru bcz naona kama amenipunguzia shurba za kupika kila Siku na kum take care, bora upate mwingne tusaidiane jamani ,hvi inakuaje MTU unataka ulale na mtu mmoja miaka nenda rudi kwa huchoki kila siku unamuona kila siku munalala na kuamka pamoja kaaah jamani binadamu tumeumbwa kukinai so mm mume wangu akitaka kuoa nakubali kwanza utapata radhi za mola wako unamueshia uzinifu na itapunguza magonjwa kwa wanandoa. Ongea tu na mkeo na hakikisha unatenda haki bcz usipokua muadilifu kwa Huyo mdogo usie mpenda humtendei haki
Amini nakuambia siku yatakapokukuta utakumbuka maneno yako na utatamani uyameze. Maisha haya ya kukimbizana muda hautoshi kuanza kuchokana na mume hasa kama mnapendana kwa dhati na kila mmoja anatambua wajibu wake kwenye ndoa. Nikimpenda nitatamani niwe na yeye kadri ninavyoweza, nisongependa mapenzi yake kwangu yagawanywe mara mbili. Lakini kama si mapenzi ya kweli lazima tutachokana
 
  • Thanks
Reactions: FIM
Nchi hii ngumu sana wenzetu wanazindua treni za umeme huyu jamaa anaongeza mke wa pili Tanzania hatuwezi kufika popote akiri hizi za snura chura analukaluka chura anashidwa kuwaza kwa nn sukari inapanda bei
 
Amini nakuambia siku yatakapokukuta utakumbuka maneno yako na utatamani uyameze. Maisha haya ya kukimbizana muda hautoshi kuanza kuchokana na mume hasa kama mnapendana kwa dhati na kila mmoja anatambua wajibu wake kwenye ndoa. Nikimpenda nitatamani niwe na yeye kadri ninavyoweza, nisongependa mapenzi yake kwangu yagawanywe mara mbili. Lakini kama si mapenzi ya kweli lazima tutachokana
Mhhh my dear angry bird foristance mime ishi miaka sabaa or kumi or mitano duuh utakua hujamchoka tu huyo mwanaume? Duuh nafkiri mungu alituumba tuje kuishi huku duniani jamani huezi kuishi miaka yt hyo kama mfungwa lazima upate freedom. So akioa kdg inapunguza concentration kwa mtu mmoja
 
Umemuumiza sana mke mkubwa ulichofanya sio kabsa izo ni tamaa tu kisa umepata kaz et ndo unatafta mke wa pili kwanza moyo hauwez kupenda watu wawili ata ckumoja
 
wengi kwenye jukwaa hili watakudhambulia tu, badala ya kukupa ushauri. kijana hapo sasa unatakiwa kuonyesha uwanaume wako, be strong bro. ongea vizuri na bi mkubwa, wanawake wengi kwenye hili wanapenda kukuwekea masharti fulani fulani, muulize yeye anataka uumfanyie nini ili atulie? na ndoa yenu iendelee kuwa na amani kama mwanzo? alafu kipindi cha mwanzo cha kuongeza mke ndio kinavyokua ni kipindi kigumu sana, usipokua makini unaweza kumuacha mmoja. Vumilia brother ni kipindi cha mpito tu utakuja kuenjoy baadae mambo yakikaa sawa. usiwe mwepesi wa kutoa talaka katika kipindi hiki kwa vile ujafanya kosa lolote umetekeleza ruhusa yako uliyopewa na mola wako. wengi wanaokuambia umefanya kosa wanamichepuko kibao na wanaona wao wapo sawa kuliko wewe uliyeoa kwa sheria.
Ongera sana brother kwa kumnusuru na kumsitiri huyo binti mwingine una malipo yako mazuri mbele ya mola wako.
 
Mhhh my dear angry bird foristance mime ishi miaka sabaa or kumi or mitano duuh utakua hujamchoka tu huyo mwanaume? Duuh nafkiri mungu alituumba tuje kuishi huku duniani jamani huezi kuishi miaka yt hyo kama mfungwa lazima upate freedom. So akioa kdg inapunguza concentration kwa mtu mmoja
Kama ndoa ni kuishi kifungoni kila mtu angejutia kuoa au kuolewa, kwenye ndoa ndipo mahali pa kuwa free kuliko mahali popote pale.
 
Mpigwe tu...

Kupata vijichenji badala ya kuwaza kuboresha maisha umewaza chini tu

Iwe kweli au chai ...upigwe tu
 
Na asipotulia ajaribu kumjengea angalau kanyumba ghorofa moja. Hakuna namna....... ndo alichokuwa anakitafuta
Atoe wapi gari na ghorofa? TV na dressing table kadunduliza
 
Dah sipat picha kama ingekuwa ni mie hapo pangechimbika cha msingi muache huyo bi mdogo ubaki na mkeo kwa kuwa umesema bado mdogo huyo nyumba ndogo naiman atapata mume mwingine ww baki na mkeo utulie hata kama ingekuwa ni mimi nisingekubal yaan mafanikio kidogo umeongeza mke hapanaa aisee
 
Habari zenu JF,

Ukweli mimi ni muislamu mwenye miaka 30 nimeoa mke mwaka 2007 na niko na watoto 2.

Shida toka naoa nilikuwa na maisha mabovu kiasi ila nilimuambia mke wangu siku zikinitembelea japo kwa uchache naoengeza mke wa 2 na kwa kua dini inaniruhusu.

Muda wote huo mke wangu hakuonyesha kutetereka na maneno yangu hadi ikawa ananiuliza vipi utafanya lini huo mpango wako na kuniambia nifanye ila nadhani alikuwa ananiambia kwa kua sikuwa na uwezo, Mungu mkubwa akanipa kiajira mwaka 2014 hali ikawa afadhali nikamuambia mke wangu nikimuona ataerizika namuoa hapa alionesha kutetereka maana alijua muda umekaribia masharti yakaja kama nikimuona basi mahari ya huyo nitakaemuoa na yeye nimpe hayo nikamjibu sawa.

Siku nilipompata nikadaiwa kitanda, godoro, kabati na dresing basi nikaanza kununua vya mke wangu taratibu yeye hakujua kua natimiza miadi nikaongeza kwake kwa TV na Friza na Cable ili nikiwa zamu kwa mke mdogo vimliwaze.

Baaada ya kufanya hayo kwa usiri nikaoa tarehe 22/4/2016 mama yangu baaada ya kujua kawa mkali matusi mtindo mmoja malalamiko na kusema kuwa sikumtendea haki kila nikimpoza na kunasihi basi kama moto niliomwagia petroli anasema kanivumilia katika ziki leo namlipa hili.

Mke wangu kwa kweli nampenda sana hadi najilaumu kuyaamini maneno yake hadi najisikia vibaya sana kwa maneno yake na kufikiria kumuacha mke wa pili ila nimuacheje na yeye hana kosa lolote mimi ndio nilimchagua na pia ni mtoto mdogo nimuweke mjane itakuwa sijamtendea haki na nitakuwa nimejitia aibu.

Naombeni msaada ili nizungumze na wote wanielewe na mke mkubwa atulie ingawaje toka nioe nimekua nampenda sana mke mkubwa kuliko mdogo.
Kwel masikin akipata makalio uliambwata umepata kaz umeongeza mke badala yakuongeza idad ya viwanja na nyumba unazomilik huyo mke wa.kwanza anahak ya kulalamika kakuvumilia ukiwa huna kitu sas umepata unaongeza mke
 
Sasa ukiachishwa kazi utamuacha bi mdogo, na pia ukipandishwa cheo utaongeza mwingine!!!!???
 
Jipange vizuri ili urudie mada upya hapo umeteleza kujieleza pole
 
Вфцф



Sawa dini yako inaruhusu, lakini navyo jua in hadi kuwe na sababu ya kufanya hivyo. Wewe sababu pekee ya kufanya hivyo ni kwakuwa umepata ajira. Kwa mwendo huu tutazidi kuwa masikini tu. Anyways ngoja nikuitie Kungwi mzoefu mstaafu FaizaFoxy

Wala huna haja kumuitia kungwi huyu mshamba.Kwa akili za kipambavu hizo anajiona kupata ajira ameongeza kipato kumbe kapata tu njia sahihi ya kuendesha maisha yake na mkewe.Hatujui elimu yake na kazi anayoweza pata yenye kipato cha kumpa kiburi hicho.Kazi zenyewe hizi unaweza timuliwa wakati wowote.Job security ya siku hizi ni siasa tupu na ukute umeajiriwa kwenye kiwanda au mtu binafsi kurudishwa nyumbani sio jambo la kuulizia.Kwanza usivyozijua hata sheria za dini inayokuhusu wewe ulijua tu kuruhusiwa kuoa hadi wake wanne na ina masharti yake.Lililo baya zaidi na la kuudhi hairuhusiwi mkeo kumtwisha cheo cha mama hata ungempendaje.Mama ailekuzaa atabaki kuitwa mama na mke kama una ndoa nae ataitwa mke tu na sio zaidi ya hapo.Kwa hatua uliyofikia wewe vyote ulivyomnunulia (kama ni kweli)mkeo ni kuonyesha mapenzi kwake tu tena ni wajibu wako na bado ridhaa yake kuoa mke wa pili itahitajika.Unachokihangaikia sio suna kwa muumba wako badala yake ongeza bidii uweze kwenda hija ndio suna kwako.Nimekuacha na hayo na wengine watakuongezea.
 
Duu dressing table mahari huyo binti nimecheka na weww ukakodi na kirikuu kuipeleka, si bora angesema fridge angalau atengeneze barafu auze aache kukutegemea
 
Yani umeoa mke wa pili lakini unampenda sana mke mkubwa kuliko mdogo..Hapo mke mdogo hata mwezi tu hajamaliza..Hapa ndo uwa nashindwa kuelewa hii mantiki ya kuoa wanawake wengi..Ulioa ili iwaje sasa..
Alipata kazi akaamua kuoa....


Hahahah hivi dini inawaambia wakipata kazi waoe????? mbona wanachakachua mchana kweupe???
 
Samahani mkuu, Hivi kwa nini waisilamu wenye asili ya kiarabu huwa hawaoi wake wawili au zaidi hovyo?, mara nyingi naona waislamu wenye asili ya kibantu ndo kutwa kuongeza wake.
Nenda Marekani kaka
Kutana na mgombea urais
Chama cha Republican
Donald Trump ahusika
Ana majibu maridhawa
Utaridhika na majibuye
Nenda na nenda wakwetu
 
Aisee ajira mke wa pili.. Mwenzio wanainvest na kuongeza kipato we unaongeza mbunye haya sawa tu
 
Ila jamaa angeongeza mademu au nyumba ndogo tatu angekua na akili!
 
Pamenifurahisha pale ivi eti TV na friza vimliwaze na pale ivi nimuweke mjane hahaha kwani mtu akiachika siku izi anakuwa mjane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom