Nisadieni ndoa yangu inavunjika

Nisadieni ndoa yangu inavunjika

dah
Habari zenu JF,

Ukweli mimi ni muislamu mwenye miaka 30 nimeoa mke mwaka 2007 na niko na watoto 2.

Shida toka naoa nilikuwa na maisha mabovu kiasi ila nilimuambia mke wangu siku zikinitembelea japo kwa uchache naoengeza mke wa 2 na kwa kua dini inaniruhusu.

Muda wote huo mke wangu hakuonyesha kutetereka na maneno yangu hadi ikawa ananiuliza vipi utafanya lini huo mpango wako na kuniambia nifanye ila nadhani alikuwa ananiambia kwa kua sikuwa na uwezo, Mungu mkubwa akanipa kiajira mwaka 2014 hali ikawa afadhali nikamuambia mke wangu nikimuona ataerizika namuoa hapa alionesha kutetereka maana alijua muda umekaribia masharti yakaja kama nikimuona basi mahari ya huyo nitakaemuoa na yeye nimpe hayo nikamjibu sawa.

Siku nilipompata nikadaiwa kitanda, godoro, kabati na dresing basi nikaanza kununua vya mke wangu taratibu yeye hakujua kua natimiza miadi nikaongeza kwake kwa TV na Friza na Cable ili nikiwa zamu kwa mke mdogo vimliwaze.

Baaada ya kufanya hayo kwa usiri nikaoa tarehe 22/4/2016 mama yangu baaada ya kujua kawa mkali matusi mtindo mmoja malalamiko na kusema kuwa sikumtendea haki kila nikimpoza na kunasihi basi kama moto niliomwagia petroli anasema kanivumilia katika ziki leo namlipa hili.

Mke wangu kwa kweli nampenda sana hadi najilaumu kuyaamini maneno yake hadi najisikia vibaya sana kwa maneno yake na kufikiria kumuacha mke wa pili ila nimuacheje na yeye hana kosa lolote mimi ndio nilimchagua na pia ni mtoto mdogo nimuweke mjane itakuwa sijamtendea haki na nitakuwa nimejitia aibu.

Naombeni msaada ili nizungumze na wote wanielewe na mke mkubwa atulie ingawaje toka nioe nimekua nampenda sana mke mkubwa kuliko mdogo.
dah!kwa ela ipi ya kuongeza mke wenzio wanafanya vya maana kwa vijisent we unawaza kuongeza mke hahaha i wonder kazi yenyewe ajira ukifukuzwa mhhhhhhhh.kwani usipoongeza unapata zambi au ndo ufahari ?ona sasa kumpenda humpendi lakini umekomaa poor mind of yours.
 
Miaka 30 unawake 2,ukifikisha 40 si utakua nao6??alaf jione ulivyo punguani,eti umemnunulia tv, cable Na friza ili vimliwaze,kwani kwako alifuata TV Na friza?ndo mana mnachapiwa
 
hahahaha eti ndo vitu vya kujitambia mwanaume pole weeeeeeeeee
 
Sasa fanya kazi kwa bidii uitunze familia hiyo kubwa tarajiwa.Usiongeze mwingine.We ungali kijana ukifanya mchezo utazeeka muda c wako.Magonjwa ni mengi pia.Fanya mwakani ulime maana ushapata nguvu kazi.Allah akubarik.
 
Mkuu sheria ya dini ya kiislam kweli imeandikwa kuao Mke mmoja mpaka wanne Kwa sababu maalum.
Kutokana Na maelezo yako hauna sababu za kukufanya uowe Mke wa Pili.
Mosi Mke wa kwanza umezaanae watoto wawili.
 
Mkuu sheria ya dini ya kiislam kweli imeandikwa kuao Mke mmoja mpaka wanne Kwa sababu maalum.
Kutokana Na maelezo yako hauna sababu za kukufanya uowe Mke wa Pili.
Mke wa kwanza mmeanza nae maisha Wakati Hali yako kiuchumi ilikuwa sio nzuri Na mkajaaliwa kupata watoto wawili.Hapo tu wewe Ni msaliti Kwa mkeo Na mwenye Mungu hapendezwi Na ndoa ya pili.
Mke wapili ungeoa Kama Mke wa kwanza Ni mgonjwa huwezi kufanya naye mapenzi Au hakujaaliwa watoto.Na Kwa idhini ya Mke wa kwanza. Hayo yaliyo tokea.
Sasa Hivi inabidi uwahudumia wote sawa.
Kila mmoja awe Na nyumba yake wasikae Pamoja.kwa ufafanuzi zaidi nenda ofisi ya msikiti Au Bakwata.
Kila la kheri
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1462914764.511733.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1462914764.511733.jpg
    51.3 KB · Views: 41
Habari zenu JF,

Ukweli mimi ni muislamu mwenye miaka 30 nimeoa mke mwaka 2007 na niko na watoto 2.

Shida toka naoa nilikuwa na maisha mabovu kiasi ila nilimuambia mke wangu siku zikinitembelea japo kwa uchache naoengeza mke wa 2 na kwa kua dini inaniruhusu.

Muda wote huo mke wangu hakuonyesha kutetereka na maneno yangu hadi ikawa ananiuliza vipi utafanya lini huo mpango wako na kuniambia nifanye ila nadhani alikuwa ananiambia kwa kua sikuwa na uwezo, Mungu mkubwa akanipa kiajira mwaka 2014 hali ikawa afadhali nikamuambia mke wangu nikimuona ataerizika namuoa hapa alionesha kutetereka maana alijua muda umekaribia masharti yakaja kama nikimuona basi mahari ya huyo nitakaemuoa na yeye nimpe hayo nikamjibu sawa.

Siku nilipompata nikadaiwa kitanda, godoro, kabati na dresing basi nikaanza kununua vya mke wangu taratibu yeye hakujua kua natimiza miadi nikaongeza kwake kwa TV na Friza na Cable ili nikiwa zamu kwa mke mdogo vimliwaze.

Baaada ya kufanya hayo kwa usiri nikaoa tarehe 22/4/2016 mama yangu baaada ya kujua kawa mkali matusi mtindo mmoja malalamiko na kusema kuwa sikumtendea haki kila nikimpoza na kunasihi basi kama moto niliomwagia petroli anasema kanivumilia katika ziki leo namlipa hili.

Mke wangu kwa kweli nampenda sana hadi najilaumu kuyaamini maneno yake hadi najisikia vibaya sana kwa maneno yake na kufikiria kumuacha mke wa pili ila nimuacheje na yeye hana kosa lolote mimi ndio nilimchagua na pia ni mtoto mdogo nimuweke mjane itakuwa sijamtendea haki na nitakuwa nimejitia aibu.

Naombeni msaada ili nizungumze na wote wanielewe na mke mkubwa atulie ingawaje toka nioe nimekua nampenda sana mke mkubwa kuliko mdogo.

Kwa taarifa yako ni nadra sana mwanamke kufurahia mke mwenza lakini kwa sababu ndivyo uislamu ulivyotufunza ukiweza kuwa muadilifu huna budi utekeleze hilo ili kuepuka kufanya maasi, na Quran imeendelea kuhimiza hadi 4 ilhali utakuwa muadilifu na kuwatendea haki.

Lamsingi hapo ni kuendelea kumnasihi tu na kumpa nasaha zilizobora usionyeshe kibri wala kumtusi bado ni mapema tokea tarehe 22.4.2016 sasa ata mwezi bado naamini mutaenda vyema tu. tumia busara Allah atakuwafikisha.
 
Habari zenu JF,

Ukweli mimi ni muislamu mwenye miaka 30 nimeoa mke mwaka 2007 na niko na watoto 2.

Shida toka naoa nilikuwa na maisha mabovu kiasi ila nilimuambia mke wangu siku zikinitembelea japo kwa uchache naoengeza mke wa 2 na kwa kua dini inaniruhusu.

Muda wote huo mke wangu hakuonyesha kutetereka na maneno yangu hadi ikawa ananiuliza vipi utafanya lini huo mpango wako na kuniambia nifanye ila nadhani alikuwa ananiambia kwa kua sikuwa na uwezo, Mungu mkubwa akanipa kiajira mwaka 2014 hali ikawa afadhali nikamuambia mke wangu nikimuona ataerizika namuoa hapa alionesha kutetereka maana alijua muda umekaribia masharti yakaja kama nikimuona basi mahari ya huyo nitakaemuoa na yeye nimpe hayo nikamjibu sawa.

Siku nilipompata nikadaiwa kitanda, godoro, kabati na dresing basi nikaanza kununua vya mke wangu taratibu yeye hakujua kua natimiza miadi nikaongeza kwake kwa TV na Friza na Cable ili nikiwa zamu kwa mke mdogo vimliwaze.

Baaada ya kufanya hayo kwa usiri nikaoa tarehe 22/4/2016 mama yangu baaada ya kujua kawa mkali matusi mtindo mmoja malalamiko na kusema kuwa sikumtendea haki kila nikimpoza na kunasihi basi kama moto niliomwagia petroli anasema kanivumilia katika ziki leo namlipa hili.

Mke wangu kwa kweli nampenda sana hadi najilaumu kuyaamini maneno yake hadi najisikia vibaya sana kwa maneno yake na kufikiria kumuacha mke wa pili ila nimuacheje na yeye hana kosa lolote mimi ndio nilimchagua na pia ni mtoto mdogo nimuweke mjane itakuwa sijamtendea haki na nitakuwa nimejitia aibu.

Naombeni msaada ili nizungumze na wote wanielewe na mke mkubwa atulie ingawaje toka nioe nimekua nampenda sana mke mkubwa kuliko mdogo.
Kama unampenda kwann ulioa wa pili?
Kua muislam no lazima uoe mke wapili kisa tu maandiko yanaruhusu?
Kula jeuri yako sasa
 
Yaan mtu anafkria akipata hela kidogo aongeze mke duuh. Huyo mkeo ana haki ya kulalamika kwa vyovyote vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom