Umemaliza yote siongezi hata nukta... alikupa mbegu basi .. kwanza unaishi na mume tayari mama unataka kuwa na wanaume wawili acha hizo bwana... mwambie umeshaolewa tayari kumbuka una watoto watakuonaje mama yao anapigwa huku na kule bila hata aibu. mwambie mumeo hiyo ndoa kiroho imeshavunjika kilichobaki ni amakaratasi tu lakini kimwili na kiroho nimeshaungana na mwingine na unamfurahiha huyo mume mpya ambaye hakuna any formal thing... marriage si kwenda kwa mchungaji na kuvalishana pete hiyo ni sign tu .. lakini ndoa hutoka moyoni between you two.....
achana na formality just be real... labda kama uniambie kuwa wewe hujui unataka nini maishani mwako? wakati unafurumushwa na mzungu alikuwepo hawakuona umuhimu wa kuweka kikao leo mwanao amerudi maisha yame mfuck ndiyo anarudi kwako (familia ya aliyekupa mbegu ni zaidi ya wabinafsi, mafedhuli, wauwaji na wachawi ) ..... tena usiende kabisa huko ukristo ulikutokea wamempa talaka na wewe dai talaka what so special to him now?
mfyuu nimechukia mwambie wakafungue kampuni na mzungu wake khaaa... WE HUONI KAMA NI MABINAFSI HAYO MAWAKWE YAKO YA MTOA MBEGU
Usiende
unless of-course umelogwa
Tittle yako hiyo inanifanya nifikirie mara tatu tatu kuwa unaweza kujilaghai ukawanae tena, we msichana weee sio kwa mambo hayo aliyokufanyia usithubutu utajuta kila siku na wakati huo utakuwa hauna pa kukimbilia maana huyu ulienae sasa nae atakuwa tayari ana mambo yake mengine, waliosema wakati ukuta hawakukosea, huu ndio wakati wako mama, usimchekee mwanaume asiye na huruma huyo, yapo ya kuvumilia lakini sio aliyokufanyia, mapacha ulee peke yako, wazazi wake wakutimue leo hii uwasamehe lols hiyo haiwezekani maana mpaka panya atakucheka
kwanza pole sana aise dunia ndivyo ilivyo.me naona usikatae wito wale ni wazazi wameitisha kikao hivyo onyesha heshima yao kwa kuhudhuria.cha msingi wewe simamia kwenye msimamo ulionao sasa.huo ndo ushauri wangu.