Nirudiane au nisirudiane na mpenzi wangu wazamani?

Nirudiane au nisirudiane na mpenzi wangu wazamani?

Nilikua naomba kuuliza, Huyo mume wako wa zamani, karudi na nywele za rasta? Hilo sio swali la kizushi ila naomba unijibu Kama unaweza.
 
Title imebadilishwa yangu ilisomeka NIENDE AU NISIENDE? Nikimaanisha kikao. Kuitikia wito na si nitakachoambiwa.

Dada kama unataka kufa kwa mawazo nenda kwenye hicho kikao!

Utaenda kutana na maneno mazito ya kuombwa msamaha kwa nguvu ya watoto mlio nao! Tena unaweza uitiwe na watoto wako mwenyewe wamuombee msamaha baba yao! (Unless unauhakika watoto wako hawatakuwepo)

Wazazi wako wataanza kukwambia mambo ambayo utaumia na kuona uwasikilize!

Hicho kikao usiende hata kidogo! Ikiwezekana kaa na wazazi na ndugu zako pekee waambie Kwanini hutaki kuhudhuria hicho kikao (hao ndo watu pekee wa kusimama nawewe popote)

Uliyenaye sasa anaweza kukuruhusu uende ila take it from me anakutega!

Watoto unao!
Mpenz unae (dushe unapata )!
Pesa ya dagaa kwa mchicha ipo!
Unataka nini kwa huyo mtu!!?

Waambie kama msamaha nimeshatoa! Mkitaka watoto hao hapo ni watu wakubwa wanamaamuzi!
Mimi nina mtu namilikiwa tayar tunaratiba zingine za maisha!
USIENDE USIENDE USIENDE! !!!


ukienda tuuuuuu! Unakuja kufungua uzi mwingine hapa soon!!!!!
 
Nenda kawackilize tu afu msimamo wa uko pale pale mwambie akamfate uyo mzungu wake we endelea kulea wanao
 
Nenda kasikilize wazee kwa ajili ya heshima lakini habari ya kurudiana ....Ushauri wangu ni huu......

female-sprints.jpg


yaani as far as possible..

hahah hii pc imenichekesha sna,,uyu anaonekana ni mwanamke wa shoka
 
Nenda na baby wako wote mkasikilize kikao aisee. Pole sana na hongera kwa kushinda majaribu.
 
Uende kufanya nini?si walikufukuza? Mimi nisingekanyaga! maana hawana jipya zaidi ya unafiki na kutaka kukuharibia mahusiano yako ya sasa.
 
Kwako kasahau nini?....
Achana nae....
Hicho kikao uende kufanya nini? Wewe waambie mapema kuwa hutashiriki unless wawe wanajadili kitu kingine. Be firm on issues
 
Nimejikuta siwezi ku coment chochote kwa jinsi nilikasirika,,,,
 
Hongera Mungu amekusimamisha. Mimi naona usiende kama utaona huruma nenda na mpenzi wako huyo. Asikufanye daladala....msamehe usiweke kinyongo nae ila USITHUBUTU KURUDI KWAKE.
 
unaenda kuongea nn? na wazazi wako wamesahau walichokufanyia?? Ngekua mimi huo mda wa kikako bola niende nkame mbuzi katoriki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom