Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

aku....kisa cha kwenda kula kuku kwa uma.....mtoto wa uswazi nataka nikamatane na mfupa mpaka unitambue jinsia......

Wewee unaweza kula nyama za mifupa ulivo laini kama hivi, we zako nyama za kopo tu
545730_113648798774841_1018854211_s.jpg
 
Nafikiri umesjafika sasa, umepata wapokeaji🙂 kama bado unaweza nijulisha nitakuelekeza!

Nimepata wenyeji wengi sana, baadhi nimewataja kwenye hii thread, wengine walitoa udhuru wasitajwe. Arusha rahaaaaa, nimepata kampani nzuri sana, kwa kweli sijajisikia upweke. Thanks CS
 
Ngoja nilale maana kesho nina safari asubuhi, I know life doesn't end here, it continues to the eternity!
 
Ngoja nilale maana kesho nina safari asubuhi, I know life doesn't end here, it continues to the eternity!

Afu wewe SIMplicity mbona nimekusubiri stand hujatokea ?.....umepita barabara gani?.
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe SIMplicity mbona nimekusubiri stand hujatokea ?.....umepita barabara gani?.

Mie siijui hiyo barabara, ngoja walionisindikiza waje waseme, ww si ulichelewa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom