Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

Hata mie nimemshitukia huyu japo kanisahau mimi kwenye list yake, Nakaribisha huku Unga ltd!

Mwanyasi, nisingeweza kujua mkuu mpaka niliposhtukia kuwa una Id nyingine.
 
Ulikutana na Preta? Yukoje...namaanisha "figure" hunhaa. Halafu nimemsikia anazungumzia Nyichoka, Ikoma, Isenye...Kuwa makini watoto wa pande hizo moto!

wala usiumize kichwa.....nakuwekea picha yangu hapa saa hii.....
 
Last edited by a moderator:
Ulikutana na Preta? Yukoje...namaanisha "figure" hunhaa. Halafu nimemsikia anazungumzia Nyichoka, Ikoma, Isenye...Kuwa makini watoto wa pande hizo moto!

Preta ameumbwa akaumbika, weee. Ni kweli watoto wa hizo pande ni moto, maana hata yeye amekiri jana alikuwa anampa mtu joto!
 
Last edited by a moderator:
Eti Preta huyu jamaa ameondoka na nani leo hapa
maana natishika huyu dogo anayejiita Simplicity ni mwenyeji mwenye ID mbili huyu

Mkuu, mbona ipo wazi, member waliokuja jana watakuwa wanajua nimeondoka na nani. Nina Id hii tu mkuu.
 
Mkuu, mbona ipo wazi, member waliokuja jana watakuwa wanajua nimeondoka na nani. Nina Id hii tu mkuu.

Nakutafutia ban ujue maana inaonekana ulikuja kumtafuta mtoto arusha na ukampata na kuondoka nae wakati wenyeji hatuna taarifa hiyo
 
Nakutafutia ban ujue maana inaonekana ulikuja kumtafuta mtoto arusha na ukampata na kuondoka nae wakati wenyeji hatuna taarifa hiyo

Usihofu mkuu ataendelea kuwa Arusha jf member ingawa yupo Dar hadi mwisho wa mwaka huu.
 
Nishampata mrembo wangu Preta huyo wa kwako huyo alikuwa member wa Arusha kinusu nusu
Aise hujafika tuu kwenu
 
Huyo alikuwa member kamili mkuu, tunaelekea maeneo ya Mlandizi. Mchunge Preta mkuu, usije ukashangaa akawa member wa jf Lindi. Hahahaaa
 
Huyo alikuwa member kamili mkuu, tunaelekea maeneo ya Mlandizi. Mchunge Preta mkuu, usije ukashangaa akawa member wa jf Lindi. Hahahaaa
SIMplicity we una lako jambo wewe na safari yako ya huku Arusha ilikuwa wala sio kikazi
Ngoja tutafanya uchunguzi binafsi zaidi wa kikachero Preta ni ngumu sana kuhamia lindi aache vyuku na uji wa shanga akahamie lindi
Joto la pwani litamzeesha bure
 
Safari ilikuwa ya amani sana mkuu. Preta mwenyewe ana joto, halafu umpeleke tena huko si ataungua.
 
Last edited by a moderator:
Nimefika maskani. Mkuu Mr Rocky bila shaka najua unanifuatilia.
 
Back
Top Bottom