Mr Rocky huyu wala sio mgeni asee.
Hii mechi nayo naona ngumu yaani mpaka sasa dk ya 89 droo!
:A S confused:
:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
Mechi ya jana kati ya esp na por, usianze kuwaza vinginevyo!
sweetlady umeona eehh
mgeni anawajua wenyeji wote
may be atupe jina lake au ID aliyokuwa anatumia hapo mwanzo
#sweetlady kakwepa kunipokea, hadi kunisindikiza pia, duh!
Tumekaribia Same, LiverpoolFC bila shaka unadaka hizi updates!
mgeni karibu tena.....
#
sweetlady kakukwepa maana ameona umekuwa mwenyeji ghaflla na unawajua wenyeji wote
Halafu machungwa yangu uliyonunua pale mombo mbona sikuyaona
Mkuu Simplicity wewe ndo umeanza kuwaza kivingine
Mi niliweka mawazo kwenye hiyo mechi ya Esp na Por na si vinginevyo
wabongo bana neno moja maana kibao
Mr Rocky jana karibu unitie matatani, uliposema huyu sio mgeni mbona anajua watu wengi wa Ar, e bwanee, jamaa walipokuja si wakanizingira, enhee unatujuaje kwamba sie tupo Ar! Wee, isingekuwa Mzee wa Rula kunyosha mambo pasingetosha! Waliniuliza kama wewe mgeni mbona hujaja na zawadi? Ikabidi niyakabidhi fasta. Hahahaaa
Mkuu, jana watu walianza kuwa na hisia tofauti, lazima niweke sawa maneno mengine.
Ahsante Preta hata kama ulinikwepa. Hahahaaa
Mkuu Simplicity itabidi ukifika Mombo utume matunda mengine aise zawadi yangu huwezi gawa bana
Hahahahahahahah
ile badidi ya jana.....my yummy yam alikataa nisisogee hata hatua 2....nitakupokea summer time.....si utakuja tena.....
Ngoja huyu aliyenisindikiza atarudi nayo wiki ijayo.
Yaani wewe ndio ulikuwa unampa joto au? Mbona sikuelewi!
:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:
Preta hivi upo mammy nimekumiss
Hebu njoo nifafanulie hapa huyu jamaa anamaanisha nini
Nimepata wenyeji wengi sana, baadhi nimewataja kwenye hii thread, wengine walitoa udhuru wasitajwe. Arusha rahaaaaa, nimepata kampani nzuri sana, kwa kweli sijajisikia upweke. Thanks CS
nipo taayee....kuna mambo namuelewesha....mgumu kuelewa kama nini sijui.....