Nipo tayari kumsimamia dada kwenye harusi ila anakataa

Nipo tayari kumsimamia dada kwenye harusi ila anakataa

Unataka kumshika mkono Dada yako uende kumkabidhi jamaa akampige dushe? All the best
 
Sendoff ulikua bwax mkuu, Wapo right kukuzuia usinywe pombe kabisa.
 
Kama unajali fuata ushauri wa nduguzo huenda waliona kuna kasoro kidogo unapokua bwax. Ikiwa wampenda sister wako basi usinywe kwani nini bhana siku moja tu na baada ya jukumu lako unaweza kunywa mpaka basi au vipi kaka mkubwa
 
habari za jion wadau.

my twin sister anaolewa kesho.

nimepewa assigment moja ya kunwingiza church Azania front mchana.

na then kumkabidhi kwa mumewe.. as tupo wawilo tu kama kaka ni jukumu langu hilo siwezi likwepa.

sasa kilichonikera.

ni home kuanza kelele eti leo na kesho nisinywe bia hata moja. maana nina jukumu kubwa kwesho..

eti bia zinaleta mkosi kwenye siku yake..

na hapo home wanajua mi mnywaji siku zote na wala sio mlevi.. ila ni mnywaji tu..

send off jana nilikuwa bwax but show ilisimama vizuri sana kila jukumu langu halikukwama..

sasa inakuaje nisifurah na kinywaji kuanzia leo kufurahia siku kubwa ya kuagana na my lovely twin sister ambayo ni kesho..

huu ni zaidi ya utoto wanauleta hapa home..

hii ni haki kweli.. jana tu kaka mkubwa nimekimbiza mbaya hadi mashemeji, ndugu, jamaa na marafiki wakakubali kaka jembe.. sasa leo why wanizuie

na bibi harusi anacheka cheka tu badala ya kutoa mawazo sahihi.. maana nimepanga bia nizinywe home tu nisiende hata bar..

Heee Mungu! Huyu naye umemuumba wewe kweli?! Na akili hizi?! Haaaaaa Mungu, mbona wakati mwingine uumbaji wako ni wa kiutani jmn?!
 
Daah! ni ka vile unaruhusu sister akakunjwe na jamaa! Vp huna wivu!
 
we utakua unakunywa mataputapu sio bure wakukataze tuu
 
we utakua unakunywa mataputapu sio bure wakukataze tuu

stress za maisha zinakuchanganya..

hii thread ya vijana wa rika tofauti.. tunafurahi, tunashauriana na kuelimishana..

sasa ukileta matatizo yako ya kimaisha humu katika kuandika hakuna wa kukusaidia..

ukiona haikuhusu unapita kimya kimya tu..

hujalazimishwa ku comment
 
Kama unajali fuata ushauri wa nduguzo huenda waliona kuna kasoro kidogo unapokua bwax. Ikiwa wampenda sister wako basi usinywe kwani nini bhana siku moja tu na baada ya jukumu lako unaweza kunywa mpaka basi au vipi kaka mkubwa

Thanks dada..

nimekuelewa japokuwa nimegonga ndovu tu mbili tatu za kuchangamsha mwili.. suti ikae vizuri
 
Ni wapi umeomba ushauri? bado na kushangaa kusimulia haya maana maandishi yako yanaonesha wazi dada na nduguzo wanaongea anaongea ukweli mtupu jaribu kusoma ulicho kiandika!

Dada na ndugu zako wanakufahamu vizuri kuwa pombe huziwezi kabisa ndio maana wana hofu utaleta mkosi kama ukinywa! Unajua tatizo ni kwamba kila mnywa pombe anajiona pombe ana ziweza!

Nduguzo wanakufahamu vyema na wanajua utawadhalilisha na kuleta mkosi ndio maana wamekushauri hivyo ..ni vyema kwa kuwa harusi si yako kuliko kuiharibu ni bora ukawasikiliza na ukapumzika mpaka harusi imalizike usije kuleta mkosi!

Hao wanao kuita jembe wanakudanganya maana wanajua dawa ya mlevi chakali ni kumsifu!

Ni vyema ukasikiliza ushauri wa nduguzo kuliko kuja kujuta wakati umeharibu!Subiri harusi yako ndio ulewe utakavyo.

Samahani lakini.

unaandika maelezo mengi wakati hiki kijiwe cha vijana tunashauriana..

we kaka unaona iko juu ya umri wako unapita kimya kimya kutafuta thread za wazee wenzako..

sasa maelezo mengi kama upo jukwaa la siasa kumbe mmu ya weekend tu
 
Kuwa mvumilivu kwa siku moja tu Kumbuka
Usiku Mmoja Hauozeshi Nyama
Kwanini sasa unashindwa kujitambua haraka
 
unaandika maelezo mengi wakati hiki kijiwe cha vijana tunashauriana..

we kaka unaona iko juu ya umri wako unapita kimya kimya kutafuta thread za wazee wenzako..

sasa maelezo mengi kama upo jukwaa la siasa kumbe mmu ya weekend tu

Unaonekana huna adabu ndio maana unashindwa kumsikiliza dada na nduguzo hata kwa siku moja tuu! Unajua nilitegemea ukae chini na ujiulize kwanini wamekushauri usinywe!

Tatizo hawakuamini kabisa na hukuwai kuamini linapo kuja swala la pombe...! Unajua kwenye maisha kuna kujitolea kwaajili ya wengine ..nilitegemea wewe ujitolee hili dada yako afurahi kuwa ana kaka anaye weza kumsikiliza na akampa furaha!

Onesha ukaka kwa kusikiliza na kupokea ushauri ..dada yako anatakiwa kufurahi sio kumpa wasiwasi...!

Kuna watu hulewa hadi wanajikojolea lakini ukiwauliza watakwambia kuwa wao ni mabingwa wa pombe na wanaziweza kweli kweli ..na hii ndio tabia ya walevi!

Sikiliza ushauri wa nduguzo usije ukaleta mkosi kwenye sherehe!
 
usilolijua ni usiku wa giza..
 
"Nani kamwaga pombe yanguuu?, naulizaaa...!"
 
We piga bia mbili au tatu upate confidence ya kumkabidhi dada yako
 
Back
Top Bottom