Nipo tayari kumsimamia dada kwenye harusi ila anakataa

Nipo tayari kumsimamia dada kwenye harusi ila anakataa

'Shaurimbaya' wanaokukataza usinywe pombe leo ndiyo wanaokufahamu uwezo wako wa kuhimili hicho kinywaji. Kutuomba ushauri sisi tulio nyuma ya keyboards ni kuto kutenda haki kwa dada yako kipenzi. Hebu mfurahishe leo kwani hii siku haitajirudia tena maishabi mwake. Msikilize anachotaka
 
Habari za jioni wadau.

My twin sister anaolewa kesho,nimepewa assigment moja ya kunwingiza Church Azania Front mchana na then kumkabidhi kwa mumewe, tupo wawili tu kama kaka ni jukumu langu hilo siwezi likwepa sasa kilichonikera ni nyumbani kuanza kelele eti leo na kesho nisinywe bia hata moja maana nina jukumu kubwa kesho.

Eti bia zinaleta mkosi kwenye siku yake na hapo home wanajua mi mnywaji siku zote na wala sio mlevi ila ni mnywaji tu
Send off. Jana nilikuwa nimelewa but show ilisimama vizuri sana kila jukumu langu halikukwama sasa inakuaje nisifurahi na kinywaji kuanzia leo kufurahia siku kubwa ya kuagana na my lovely twin sister ambayo ni kesho,huu ni zaidi ya utoto wanauleta hapa nyumbani.

Hii ni haki kweli jana tu kaka mkubwa nimemshinda hadi mashemeji, ndugu, jamaa na marafiki wakakubali kaka jembe sasa leo why wanizuiena bibi harusi anacheka cheka tu badala ya kutoa mawazo sahihi maana nimepanga bia nizinywe nyumbani tu nisiende hata bar.
Inaonekana hujitambui
 
fuata ushauri bana .... kwan kutokunywa bia siku moja tu tatizo nini usijifanye umezaliwa Tbl hizi bia umezikuta tu
 
Back
Top Bottom