Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,740
- 55,402
Mkuu hapo ulipo unaona kuna fursa gani inayoingiza sana pesa?asante sana mkuu, nikiuza gari mkuu nijikite kwenye biashara gani mkuu naomba mtazamo wako??
Mkuu hapo ulipo unaona kuna fursa gani inayoingiza sana pesa?asante sana mkuu, nikiuza gari mkuu nijikite kwenye biashara gani mkuu naomba mtazamo wako??
asante ndugu yangu kwa mawazo yakocomputer sc huwezkulala njaa .Kamaa na Uber hiyo gar ndo mtaji wako kwa sasa.hiyo one mil.kachukue photocopy mashine,na desktop moja kwa hapo dar utapata kwa pesa hiyohiyo.halaf pambana upate ka flame fungua ka stationary mpe mdada ,then huku ww ukikomaa na Uber.
amesema matamanio tu ualimkuta ya vijanaGari ulinunua ili uendee wapi ikiwa kazi ilishaisha au kutembea ndugu.
We need to create channels first then to buy motorcar for reaching those channel Fred Vunjabei, Diamond, MO wanahitaji gari.
nikiri kabisa ukweli wa mungu sijawai kufanya iyo researchMkuu hapo ulipo unaona kuna fursa gani inayoingiza sana pesa?
Uza gari upate more than 1000 options of Business.Mkuu ni ujana tuu, ndio maana nikaelezea sana hapo juu, sitaki kuanza kujutia kwa maamuzi nilio chukua ila ndio imetokea tayari inatakiwa nitoke hapa nilipo nisogee mbele zaidi kwa kutatua tatizo
asante sana mkuu, ubarikiwe.Uza gari upate more than 1000 options of Business.
Usiuze uendelee kujifunga kwenye kifungo cha Uber as only Business.
Mkuu jitahidi kua friendly na mazingira,nikiri kabisa ukweli wa mungu sijawai kufanya iyo research
asante sana ndugu yangu kwa mawazo yako, ubarikiwe sanaMkuu jitahidi kua friendly na mazingira,
Mfano kama hapo kwenu hakuna saluni fungua, mashine za kusaga fungua, mambo ambayo watu wanayadharau ndio
yanayoingiza pesa.
😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷
asante sana, ubarikiwe mkuuAnza kufanyia kazi hiyo gari iweke iwe uber ila usimpe dereva fanya mwenyewe,jiwekee malengo kila siku laZima ulaze kias flan cha pesa,hautajuta ktk hilo
mkuu, nipe mawazo kwa asset zote nilizo nazo natokaje hapa nilipo ili nifanikiwe mkuu, japo kwa mwezi niwe na uhakika wa laki 7, 8, 9 au zaidiMzee una milioni halafu unaiona si mali kitu!![]()
Ingiza gari uber&Bolt halafu endesha mwenyewe hela utaiona.Wakuu nilimaliza chuo mwaka 2018, nilitafuta ajira mpaka nikahisi kukata tamaa, mungu amtupi mja wake nika bahatika kupata kazi katika kampuni binafsi uko mkoaji (nje ya Dar es Salaam) hiyo kazi ni project tu ya miaka miwili, ile kazi nilifanya vizuri mpaka ikasiha na kwa uaminifu mkubwa kabisa, katika kujichanga changa mpaka project inamalizika nikawa nimejichanga changa mpaka kupata kiasi flani cha pesa, nilikuwa na kiwanja maeneo ya Dar nikaweka msingi wa nyumba ya ramani niliokuwa nayo (nyumba simple, ambayo naamini uko mbeleni haiwezi nisumbua kujenga kwa kudunduliza).
Ndugu zangu nadhani mnajua sisi vijana tunakuwa na matamanio mengi sana kwenyee hii dunia, ususani sisi vijana wenye hizi age za miaka 25s-35 kunakuwa na matamanio makubwa ya kumiliki gari na nyumba nzuri, sasa kilichofuata pesa nyingine nikanunua gari aina ya IST niliagiza from japan (online buy).
Wakuu mpaka nakuja kuomba ushauri kwenu ni ili suala, Kwa sasa sina tena kazi yoyote ile ya kuniingizia kipato kabisa, maana ile project imesha isha kabisa, na kwenye account yangu nina shilingi milion moja tuu.
Naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa, nifanyeje ili niweze japo kuiona kesho yangu ikiwa njema, sijui hii milion moja nafanyia nini ili niweze kutoka, na sijajua hii gari naifanyeje ili iweze kunitoa kimaisha, nimebaki kwenye wimbi kubwa la mawazo (kuna muda najutia kununua gari, ila imesha tokea na kuna muda mwingine nikiliangalia gari yangu naona kama sijafanya maamuzi baya sana maana nalipenda).
Sina mke wala mtoto, na nipo Dar es Salaam kwa sasa, niliwaza kuliingiza gari kwenye uber.. uko nako sijui kukoje
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu ambao siku nikikaa ntaona kabisa kweli jamiiforum ilinitoa sehemu mmoja kunipeleka sehemu nyingine, mbalikiwe sana.
Karinuni
asante sana mkuu, ubarikiwe sanaIngiza gari uber&Bolt halafu endesha mwenyewe hela utaiona.
mkuu, nipe mawazo kwa asset zote nilizo nazo natokaje hapa nilipo ili nifanikiwe mkuu, japo kwa mwezi niwe na uhakika wa laki 7, 8, 9 au zaidi
elezea hapa mkuu, itakuwa faida kwangu na kwa wengine wenye pesa kama iyo wanao tafuta wazoLeta hiyo milioni nikupe mchongo, hautajuta mkuu.
ndio uwa vijana tunawaza ivyo mkuu, ndio maana kuna muda tunaona tumekosea tunarudi nyuma na kuomba mawazo ya watu walio na experience na kadhia ya namna kama hiiVijana wengi tukipata pesa tunakimbioia kujenga kama tunalala nje vile,, Baada ya kufungua miladi inayoingiza unafanya kutoa,,,
Dah uza tu icho kigari kisha utulize akili na uanze tena ki utu uzima