Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

Tumia gari kama duka linalo tembea,nunua baadhi ya bidhaa Kama pochi za mitumba,viatu then aza kupita maofisini unauza
asante kwa ushauri wako mkuu, ili pia nilifikilia ila nikawaza nifanyie biashara ipi iyo ambazo ntakuwa nanunua then napitisha kwenye sehemu za maofisi nk ila sikupata jibu
 
Mkuu biashara Ni ubunifu,hapo nimekupa wazo ingia ilala bomaa,changua t-shirt classic na masharti,nguo za ofisini za kina dada,viatu,pochi then jitoe ufahamu ingia kila ofisi tangaza biashara yako wako watao nunua
 
ubarikiwe sana mkuu
 
Fanya gari uber mbona simple tu au ndio unaogopa watu watakuonaje mkuu kwenye kutafuta hela hakunaga aibu au kuona wakina nani watanionaje

Nina rafiki yangu ni sister du yupo busy na uber yake kwa mwezi anaingiza karibia mill 1 na hapo anakwambia hajaamua kuwa serious na biashara ya uber sasa sijui kweli au ananidanganya anajua yeye
 
Ktk maisha yako, kataa kupunguza kitu kwasababu ya shida. Usiuze nyumba, gari au chochote ulichonacho. Ingia uber au fanya dereva tax upate pesa.
Unaweza kuuza gari halafu ukafungua biashara na ikafa.
asante mkuu, ubarikiwe sana
 
Fanya gari uber mbona simple tu au ndio unaogopa watu watakuonaje mkuu kwenye kutafuta hela hakunaga aibu au kuona wakina nani watanionaje

Nina rafiki yangu ni sister du yupo busy na uber yake kwa mwezi anaingiza karibia mill 1 na hapo anakwambia hajaamua kuwa serious na biashara ya uber sasa sijui kweli au ananidanganya anajua yeye
asante sana mkuu nimekuelewa sana
 
Wakuu nilimaliza chuo mwaka 2018, nilitafuta ajira mpaka nikahisi kukata tamaa, mungu amtupi mja wake nika bahatika kupata kazi katika kampuni binafsi uko mkoaji (nje ya Dar es Salaam) hiyo kazi ni project tu ya miaka miwili, ile kazi nilifanya vizuri mpaka ikaisha kwa uaminifu mkubwa kabisa, katika kujichanga changa mpaka project inamalizika nikawa nimejichanga changa mpaka kupata kiasi flani cha pesa, nilikuwa na kiwanja maeneo ya Dar nikaweka msingi wa nyumba ya ramani niliokuwa nayo (nyumba simple, ambayo naamini uko mbeleni haiwezi nisumbua kujenga kwa kudunduliza).

Ndugu zangu nadhani mnajua sisi vijana tunakuwa na matamanio mengi sana kwenyee hii dunia, ususani sisi vijana wenye hizi age za miaka 25s-35 kunakuwa na matamanio makubwa ya kumiliki gari na nyumba nzuri, sasa kilichofuata pesa nyingine nikanunua gari aina ya IST niliagiza from japan (online buy).

Wakuu mpaka nakuja kuomba ushauri kwenu ni ili suala, Kwa sasa sina tena kazi yoyote ile ya kuniingizia kipato kabisa, maana ile project imesha isha kabisa, na kwenye account yangu nina shilingi milion moja tuu.

Naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa, nifanyeje ili niweze japo kuiona kesho yangu ikiwa njema, sijui hii milion moja nafanyia nini ili niweze kutoka, na sijajua hii gari naifanyeje ili iweze kunitoa kimaisha, nimebaki kwenye wimbi kubwa la mawazo (kuna muda najutia kununua gari, ila imesha tokea na kuna muda mwingine nikiliangalia gari yangu naona kama sijafanya maamuzi baya sana maana nalipenda).

Sina mke wala mtoto, na nipo Dar es Salaam kwa sasa, niliwaza kuliingiza gari kwenye uber.. uko nako sijui kukoje

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu ambao siku nikikaa ntaona kabisa kweli jamiiforum ilinitoa sehemu mmoja kunipeleka sehemu nyingine, mbalikiwe sana.

Karinuni

Bora wewe uko peke yako hauna familia na una asset tayari,zifanyie kazi zikuongezee pesa acha uoga wa maisha.Kuna waendesha bodaboda wanapata riziki kila siku.
Uamuzi ni wako.
 
Usiuze Gari wala kiwanja...Fanya Uber, Mwezi tu utaweza kupandisha angalau Chumba kimoja ktk msingi wako...jiwekee lengo la kila miezi miwili max Chumba kimoja kikamilike, hamia kupunguza gharama za kodi km umepanga...pandisha chumba kingine pangisha hadi nyumba iishe...ukimaliza anza kutafta mtaji wa stationary, with your IT knowledge haiwezi kukupa shida...As a backup unahitaji kutafta video/audio tutorials za mambo ya IT mfano ccna,ccnp,cisa, cism, cissp, oracle n.k uwe unaziskiliza unapokua unafanya kazi zako za Uber dont waste your time kubadilisha station za radio then unajichanga unafanya mtihani unakua certified...ukiwa na hizo certifacates kuajirika ni rahisi zaidi incase bzess ikikushinda ukaamua kurudi katka ajira or ukiamua kuanzisha kampuni yako ya mambo ya IT.
 
Usiuze gari ,ingia barabarani mwenyewe ,watu wanakodi magari kwa maboss kufanya taxi au Uber na Kila mwezi wanapeleka mahesabu na familia zao zinaishi na mipango inaenda sembuse we mwenye gari na boss ni wewe mwenyewe ,endesha mwenyewe usione aibu kuwa dereva taxi maana wasomi wengi wanaona aibu na wanachagua kazi ndo maana wanafeli .

Piga kazi ya kuendesha tafuta maeneo yenye abiria kama bandarini ,ukijali wateja watakuzoea utakuwa unapigiwa simu kutoa huduma ,huku ukiendelea kutafuta kazi nyingine
Gari ya Tax hailipi hata kidogo,uza gari Kwa hasara changanya na million 1 yako Fanya biashara
 
Mkuu unajua average Uber inalaza bei gani kwa siku?au unataka tu kumdiscourage jamaa?Unamshaurije mtu auze gari bila kumpa ushauri wa akishaliuza gari akafanye biashara gani..
Its not ideal kuuza Gari wakati hana idea wala uzoefu wa biashara anayokwenda kuifanya...atumie gari yake ku raise capital ya biashara nyingine...ikisha changamka then ndo auze gari ku top up capital, not to start a business.
 
N
Wakuu nilimaliza chuo mwaka 2018, nilitafuta ajira mpaka nikahisi kukata tamaa, mungu amtupi mja wake nika bahatika kupata kazi katika kampuni binafsi uko mkoaji (nje ya Dar es Salaam) hiyo kazi ni project tu ya miaka miwili, ile kazi nilifanya vizuri mpaka ikaisha kwa uaminifu mkubwa kabisa, katika kujichanga changa mpaka project inamalizika nikawa nimejichanga changa mpaka kupata kiasi flani cha pesa, nilikuwa na kiwanja maeneo ya Dar nikaweka msingi wa nyumba ya ramani niliokuwa nayo (nyumba simple, ambayo naamini uko mbeleni haiwezi nisumbua kujenga kwa kudunduliza).

Ndugu zangu nadhani mnajua sisi vijana tunakuwa na matamanio mengi sana kwenyee hii dunia, ususani sisi vijana wenye hizi age za miaka 25s-35 kunakuwa na matamanio makubwa ya kumiliki gari na nyumba nzuri, sasa kilichofuata pesa nyingine nikanunua gari aina ya IST niliagiza from japan (online buy).

Wakuu mpaka nakuja kuomba ushauri kwenu ni ili suala, Kwa sasa sina tena kazi yoyote ile ya kuniingizia kipato kabisa, maana ile project imesha isha kabisa, na kwenye account yangu nina shilingi milion moja tuu.

Naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa, nifanyeje ili niweze japo kuiona kesho yangu ikiwa njema, sijui hii milion moja nafanyia nini ili niweze kutoka, na sijajua hii gari naifanyeje ili iweze kunitoa kimaisha, nimebaki kwenye wimbi kubwa la mawazo (kuna muda najutia kununua gari, ila imesha tokea na kuna muda mwingine nikiliangalia gari yangu naona kama sijafanya maamuzi baya sana maana nalipenda).

Sina mke wala mtoto, na nipo Dar es Salaam kwa sasa, niliwaza kuliingiza gari kwenye uber.. uko nako sijui kukoje

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu ambao siku nikikaa ntaona kabisa kweli jamiiforum ilinitoa sehemu mmoja kunipeleka sehemu nyingine, mbalikiwe sana.

Karinuni
Niuzie mimi iyo IST nazipenda sana. Fanya mchakato tufanye biashara
 
Fanya gari uber mbona simple tu au ndio unaogopa watu watakuonaje mkuu kwenye kutafuta hela hakunaga aibu au kuona wakina nani watanionaje

Nina rafiki yangu ni sister du yupo busy na uber yake kwa mwezi anaingiza karibia mill 1 na hapo anakwambia hajaamua kuwa serious na biashara ya uber sasa sijui kweli au ananidanganya anajua yeye
shukrani sana kiongozi
 
Usiuze Gari wala kiwanja...Fanya Uber, Mwezi tu utaweza kupandisha angalau Chumba kimoja ktk msingi wako...jiwekee lengo la kila miezi miwili max Chumba kimoja kikamilike, hamia kupunguza gharama za kodi km umepanga...pandisha chumba kingine pangisha hadi nyumba iishe...ukimaliza anza kutafta mtaji wa stationary, with your IT knowledge haiwezi kukupa shida...As a backup unahitaji kutafta video/audio tutorials za mambo ya IT mfano ccna,ccnp,cisa, cism, cissp, oracle n.k uwe unaziskiliza unapokua unafanya kazi zako za Uber dont waste your time kubadilisha station za radio then unajichanga unafanya mtihani unakua certified...ukiwa na hizo certifacates kuajirika ni rahisi zaidi incase bzess ikikushinda ukaamua kurudi katka ajira or ukiamua kuanzisha kampuni yako ya mambo ya IT.
ubarikiwe sana mkuu, umeniongezea kitu kikubwa sana kichwani mkuu, ubarikiwe
 
Mkuu unajua average Uber inalaza bei gani kwa siku?au unataka tu kumdiscourage jamaa?Unamshaurije mtu auze gari bila kumpa ushauri wa akishaliuza gari akafanye biashara gani..
Its not ideal kuuza Gari wakati hana idea wala uzoefu wa biashara anayokwenda kuifanya...atumie gari yake ku raise capital ya biashara nyingine...ikisha changamka then ndo auze gari ku top up capital, not to start a business.
shukrani sana mkuu kwa mawazo yako
 
Bora wewe uko peke yako hauna familia na una asset tayari,zifanyie kazi zikuongezee pesa acha uoga wa maisha.Kuna waendesha bodaboda wanapata riziki kila siku.
Uamuzi ni wako.
shukrani sana mkuu
 
Wakuu nilimaliza chuo mwaka 2018, nilitafuta ajira mpaka nikahisi kukata tamaa, mungu amtupi mja wake nikabahatika kupata kazi katika kampuni binafsi uko mkoani (nje ya Dar es Salaam) hiyo kazi ni project tu ya miaka miwili, ile kazi nilifanya vizuri mpaka ikaisha kwa uaminifu mkubwa kabisa, katika kujichanga changa mpaka project inamalizika nikawa nimejichanga changa mpaka kupata kiasi flani cha pesa, nilikuwa na kiwanja maeneo ya Dar nikaweka msingi wa nyumba ya ramani niliokuwa nayo (nyumba simple, ambayo naamini uko mbeleni haiwezi nisumbua kujenga kwa kudunduliza).

Ndugu zangu nadhani mnajua sisi vijana tunakuwa na matamanio mengi sana kwenyee hii dunia, ususani sisi vijana wenye hizi age za miaka 25s-35 kunakuwa na matamanio makubwa ya kumiliki gari na nyumba nzuri, sasa kilichofuata pesa nyingine nikanunua gari aina ya IST niliagiza from japan (online buy).

Wakuu mpaka nakuja kuomba ushauri kwenu ni ili suala, Kwa sasa sina tena kazi yoyote ile ya kuniingizia kipato kabisa, maana ile project imesha isha kabisa, na kwenye account yangu nina shilingi milion moja tuu.

Naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa, nifanyeje ili niweze japo kuiona kesho yangu ikiwa njema, sijui hii milion moja nafanyia nini ili niweze kutoka, na sijajua hii gari naifanyeje ili iweze kunitoa kimaisha, nimebaki kwenye wimbi kubwa la mawazo (kuna muda najutia kununua gari, ila imesha tokea na kuna muda mwingine nikiliangalia gari yangu naona kama sijafanya maamuzi baya sana maana nalipenda).

Sina mke wala mtoto, na nipo Dar es Salaam kwa sasa, niliwaza kuliingiza gari kwenye uber.. uko nako sijui kukoje

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu ambao siku nikikaa ntaona kabisa kweli jamiiforum ilinitoa sehemu mmoja kunipeleka sehemu nyingine, mbalikiwe sana.

Karinuni
ingiza gari kwenye biashara ya tax ili maisha yaende
 
Back
Top Bottom