Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,892
- 157,122
Hajalala mtotomtamuNyie ndio mnaoharibu yani asubuhi yote hii ushaan za
Hajalala mtotomtamuNyie ndio mnaoharibu yani asubuhi yote hii ushaan za
simu aliyokuwa akitumia ambayo ikuwa na uwezo android ilikuwa inastack kama kawaida yake akachukilia hasira akaibamiza chini baada ya siku kadhaa ilikuja kuzima ghafla akawa ameenda kwa dada yake jioni yake nikamuona na nokia ya tochi sasa hapo sijui nitamhack vipiAzima Simu Yake Ingia Google Search SPYHIDE,Download App,Alafu Jisajili/Register Weka Email Yako Na Password Baada Ya Hapo App Itapotea Pale Ktk Screen/Homepage. Baadae Utakuja Kufungua Email Yako Na Kusoma Messages Zake Zote.Tafuta Dereva Wa Kukuwahisha Hospitali Au Ambulance,Au Vidonge Vya Kushusha Presha Viwe Karibu!!
sasa mkuu unaposema wivu wa kitoto kwa hiyo aendelee kunisonya na kuchart na mabwana maana nilikuwa namuonya alichokifanya si sahihi so nikaweka msisitizo na kibao tulivuWewe jamaa unapenda sanaaa unakuwa ma wivu wa kitoto kwa hivyo huyo demu ashakujua na atakusumbua zaidi ukimuoa. Hatupigi wanawake siku hizi, kama kakushinda temana nae haraka kabla hujamzalisha.
mkuu namkojoza mara dufu lkn bado tuZidisha mapenz kwa pengine kuna kitu anakosa kwako. Kaa nae muulize, Dini sio tatzo kila mtu na abaki na Dini yake muulize anapenda nn sio kupiga tu. Km mm ukinipga nakusubr umelala nakulipilizia mambo ya kupigana cyatak kabisaa. Bora ongeeni yaishe muish km zaman
Mwanamke wa kukufyonza hata mm anakula vibaoUkiwa unatunga uongo ujitahidi kuwa na sanaa ya bongo movie,uongo wako utakubalika haraka. Umetiririka pumba weee ukaja jazia mashudu ati dini yenu tofauti,muda wote ulioishi nae ulikua wapi kufahamu tofauti ya dini? Si useme tu ukweli umemtumia binti wa watu vya kutosha,umemchoka unaanza visingizio ati kakufonya mara namba ngeni inayompa kiburi kisha ukakumbuka dini tofauti
Hapa kinachokusumbua sio utoto bali ni ujinga na sifa za mitandaoni uonekane kidume kinachopiga mwanamke kisa kakufyonza.
ni kweli mkuu nimekuwa pia nikitafuta replacement yake ila bado sijaona ila ninamiini siku akipatikani nitampa uhuru achart mpaka wagalagaleAchana nae haraka sana maana kama ukija kujifunga kwa kumuoa wakati unajua kabisa ni tatizo, utalia peke yako maana utakuwa umeyataka mwenyewe.
Kwa vile huyo sio mkeo na haujazaa nae watoto mwache haraka. Atakuwa mzigo mzito kama gunia la misumari. Je upo tayari kuvumilia kuubeba mzigo huo ktk maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani? Huyo hana heshima wala hekima na ndio kalelewa hivyo hatobadilika sasa. Chukua hatua mapema. Kama umemzalisha mvumilie mtunze watoto lakini nahisi bado.sasa mkuu unaposema wivu wa kitoto kwa hiyo aendelee kunisonya na kuchart na mabwana maana nilikuwa namuonya alichokifanya si sahihi so nikaweka msisitizo na kibao tulivu
Kwaiyo unateswa na mapenzi sio?mkuu naogopa huenda akawa dada wa mtu humu pia nilijihami jana kwa kudelite kila kitu chake mpaka namba,pics na videos ili nianze kuisoma namba taratibu
kumzalisha bado maana huwa nakimbia siku zake za hatari jambo ambalo litamcost yeye na mimi pia maana familia yake ina uwezo na wana hadhi fulani kidini hapa townKwa vile huyo sio mkeo na haujazaa nae watoto mwache haraka. Atakuwa mzigo mzito kama gunia la misumari. Je upo tayari kuvumilia kuubeba mzigo huo ktk maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani? Huyo hana heshima wala hekima na ndio kalelewa hivyo hatobadilika sasa. Chukua hatua mapema. Kama umemzalisha mvumilie mtunze watoto lakini nahisi bado.
Ukiona imefika mahali panya anapita mbele ya paka kwa maringo na madoido basi ujue paka huyo kesha dharaulika kwa kiwango cha juu kabisa kufikiwa.mkuu umepigilia msumari yaani ni mtu anayejiona malaika hapendi umkosoe hata kama unaona kabisa jambo fulani lina dosari ya moja kwa moja yeye huona unambishia na humuungi mkono
Huna mambo mengine ya kufanya?mkuu nahitaji kuwa free from the prison
mkuu unarahisisha sana haiwezekani nikose kazi ya kufanya ila hili ndo kikwazo kwangu ingekuwa hivyo basi wasingekuwa wanathubutu kuleta masikitiko yao humu maana wanaamini watapata suluhisho humu humu sasa unapokomaa sina kazi una maanisha najiendekeza kwenye hili suala ...hili ni situation ya hisia hvyo kama utanisaidia nijiepushe vipi kwenye hizi hisia za maumivu utakuwa umenisaidia snaHuna mambo mengine ya kufanya?
Waumia nini sasa kwa kulea ujinga?kaza moyo konde..mpige chini..maisha yaendelea.nashukuru mkuu japo naumia sana kupoteza time yangu kwa kudhani nilikuwa kwenye mikono sahihi
Haha,umetoa ya moyoni aiseeUkiwa unatunga uongo ujitahidi kuwa na sanaa ya bongo movie,uongo wako utakubalika haraka. Umetiririka pumba weee ukaja jazia mashudu ati dini yenu tofauti,muda wote ulioishi nae ulikua wapi kufahamu tofauti ya dini? Si useme tu ukweli umemtumia binti wa watu vya kutosha,umemchoka unaanza visingizio ati kakufonya mara namba ngeni inayompa kiburi kisha ukakumbuka dini tofauti
Hapa kinachokusumbua sio utoto bali ni ujinga na sifa za mitandaoni uonekane kidume kinachopiga mwanamke kisa kakufyonza.