Mwanamke aliokusumbua sana, ulifanikiwa kumla baada ya kumpata, tuelezee ilikuwaje…!

Mzurulaji

JF-Expert Member
Sep 25, 2021
284
564
Habari zenu wana jamvi, uzima upo.
Tuendelee kuipambania nchi yetu isizame.

Nipende kwenda moja kwa moja kwenye mda husika. Kila mwanaume huwa ana mbinu zake za kudaka samaki wake, niseme tu mbinu hazifanani lakini umakini unahitaji pia.

Nakumbuka pindi nilipokuwa mdogo wakati nayaanza mapenzi nilienda Google na Kusearch "Jinsi ya kumtongoza mwanamke na akakukubalia" Hakika maelezo yalikuwa yakinyoka, ila kuna kitu kidogo sana kilinifanya nisifate maelekezo yao. KUJIAMINI

Nikaja kugundua bila Kujiamini hata kama una Swaga vipi hakuna mrembo utakayeteka hisia zake.

Kuna demu mimi mpaka leo hii yuko moyoni mwangu kwani alinisumbua sana Aisee. Nakumbuka wakati nilipohisi moyo wangu unamuhitaji, niliishia kumuwekea doria kila siku, hasa hasa njia anazopita kila siku au mida ambayo huwa anapenda kutoka maana alikuwa geti kali.

Hakika nilidiriki kutenga muda wa miezi miwili kwaajili yake mpaka nimpate, kumbuka namfukuzia hivi vyote ili tu nimuone ila ujasiri wa kumpanga namuhitaji sikuwa nao kabisa. Siku nilivyompata, nilimuomba appointment, akakubali, lakini alichagua sehemu ambazo nitanyima uhuru kushika hata lips zake.

Hakika nilifeli, nilimbembeleza tupate sehemu tulivu akakataa, kwa simu kumpata ilikuwa ni changamoto, nikawa nakosa muda wa kuwa open. Sikuishia hapo, kila nilipokuwa nikionana naye, nilimsihi atafute muda tuzungumze nikama alikuwa akinipuuza. Lakini mungu si athumani baada ya muda mrefu kupita akakubali apointment, utajiuliza kwanini sikuwa namchana hapo hapo. Hakuwahi kuwa huru kusimama na mwanaume yoyote nadhani ni sababu ya alivyolelewa. Tukisimama sana ni dakika 1.

Hakika siku niliopata muda naye, nilimuelezea ya moyo lakini aliishia kucheka tu na kuondoka zake, niliendelea kuhangaika mpaka tulivyofanikiwa kuingia gheto siku moja. Lakini bado aligoma kutoa mzigo, gheto aliingia mara kibao lakini alikuwa akinikazia na hata kubadirika sura na kudai ameingia humo kwa heshima yangu tu. Siku nilivyotangaza kumuacha kwa madai hanipi chochote, ndipo akaamua kunikata kauli kwa kunitunuku tunda ili nisimuache.

Shusha kisa cha mwanamke aliowahi kukusumbua kumpata, na ilikuwaje akakutunuku tunda.....
 
Habari zenu wana jamvi, uzima upo.
Tuendelee kuipambania nchi yetu isizame.

Nipende kwenda moja kwa moja kwenye mda husika.
Kila mwanaume huwa ana mbinu zake za kudaka samaki wake, niseme tu mbinu hazifanani lakini umakini unahitaji pia. Nakumbuka pindi nilipokuwa mdogo wakati nayaanza mapenzi nilienda Google na Kusearch "Jinsi ya kumtongoza mwanamke na akakukubalia" Hakika maelezo yalikuwa yakinyoka, ila kuna kitu kidogo sana kilinifanya nisifate maelekezo yao. KUJIAMINI

Nikaja kugundua bila Kujiamini hata kama una Swaga vipi hakuna mrembo utakayeteka hisia zake.

Kuna demu mimi mpaka leo hii yuko moyoni mwangu kwani alinisumbua sana Aisee. Nakumbuka wakati nilipohisi moyo wangu unamuhitaji, niliishia kumuwekea doria kila siku, hasa hasa njia anazopita kila siku au mida ambayo huwa anapenda kutoka maana alikuwa geti kali.

Hakika nilidiriki kutenga muda wa miezi miwili kwaajili yake mpaka nimpate, kumbuka namfukuzia hivi vyote ili tu nimuone ila ujasiri wa kumpanga namuhitaji sikuwa nao kabisa. Siku nilivyompata, nilimuomba appointment, akakubali, lakini alichagua sehemu ambazo nitanyima uhuru kushika hata lips zake.

Hakika nilifeli, nilimbembeleza tupate sehemu tulivu akakataa, kwa simu kumpata ilikuwa ni changamoto, nikawa nakosa muda wa kuwa open. Sikuishia hapo, kila nilipokuwa nikionana naye, nilimsihi atafute muda tuzungumze nikama alikuwa akinipuuza. Lakini mungu si athumani baada ya muda mrefu kupita akakubali apointment, utajiuliza kwanini sikuwa namchana hapo hapo. Hakuwahi kuwa huru kusimama na mwanaume yoyote nadhani ni sababu ya alivyolelewa. Tukisimama sana ni dakika 1.

Hakika siku niliopata muda naye, nilimuelezea ya moyo lakini aliishia kucheka tu na kuondoka zake, niliendelea kuhangaika mpaka tulivyofanikiwa kuingia gheto siku moja. Lakini bado aligoma kutoa mzigo, gheto aliingia mara kibao lakini alikuwa akinikazia na hata kubadirika sura na kudai ameingia humo kwa heshima yangu tu. Siku nilivyotangaza kumuacha kwa madai hanipi chochote, ndipo akaamua kunikata kauli kwa kunitunuku tunda ili nisimuache.

Shusha kisa cha mwanamke aliowahi kukusumbua kumpata, na ilikuwaje akakutunuku tunda.....
Duuuh
 
FB_IMG_16998812931820808.jpg

ukinikubalia nitakupa nyumba
 
Nawakumbusha tuu ukishaanza kumfukuzia mdada na ukajikuta umesha muonyesha yeye ni wathamani na unampenda na hauna mbadala mwingine.

Hakika hutokaa utoboe mpaka ukwishe kusema maneno yote .

Ili kumpata mwanamke kirahisi mfanyie devaluation kwanza ya kisaikolojia kijanja janja alafu uwe unajiamini sana na usiwe haraka kuomba tunda wewe jifanye upo zako tuu boya boya bize na mambo yako , yani atakuletea gheto mwenyewe
 
Back
Top Bottom