Nipo njia panda, mpenzi wangu anasema napoteza muda kufanya vikao vya kusuluhisha mambo yetu pamoja na ugomvi kati yake na mdogo wake

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mulibwanji?

Nipo njiapanda, ninaishi na mwanamke wangu na nduguye kwa muda sasa, tatizo limekuwepo la dada mtu na mdogo mtu kupishana mara kwa mara kitendo ambacho kimepelekea kuwepo kwa vikao vya kuwasuluhisha na mambo kuisha.

Wakati mwngne huwa nasema basi mdogo mtu aondoke, niksema hivyo dada mtu hataki pia mdogo mtu nae alishasema aondoke dada mtu pi hukataa.

Vikao vingine ni vyangu binafsi na dada mtu anapokuwa amenikosea nadhani mnajua mambo ya wawili tena.

Sasa huyu mwanamke wangu ananituhumu vikao vimekuwa vingi sana na mbaya zaidi anasema eti huwa tunazungumza mambo ambayo hayana maana wakati huwa ni kesi zake na nduguye na mambo yangu na yeye.

Sasa mimi nikamuliza nje ya kufanya vikao tuwe tunafanyaje linapotokea jambo la kuambizana ukweli ananijbu sijui, nikamwambia basi huwenda tumeshndwa kukaa pamoja, tusambaratike sasa kila mtu na njia yake, hapo napo akasema pengne ni mipango yangu ya muda mrefu ya kutaka tusambaratike tu.

Sasa waja mimi nifanyaje au nichukue maamuzi gani sasa au likitokea jambo nifanye maamuzi kimya kimya tu?
 
hapana kumbuka hawa n wanafamilia wangu takuwa mwanaume wa hovyo kama watagombana halafu mi niwapotezee tu si sawa bora wangekuwa kwao huko wanagombana.
Wewe nae unapenda ugomvi, Kama huwezi kufukuza huyo Shemeji na wewe kalete mdogo wako ili na nyie muwe mnagombana gombana nyumba ichangamke🤣
Nikuswalike swali, wewe na mkeo hamjapata watoto?, Kama bado mpe mkeo mimba, ukute huo ugomvi ni message unatumiwa, mke anataka mtoto.
 
Umri wa mke wako tafadhali na wa ndugu yake pia.
Isije ikawa wewe unafanya vikao kumbe hapo inapaswa uwalambe stiki akili ndio ziwe na akili.
Nilitaka kuandika hivi ila huyu amrbiwahi dakika kumi zilizopita. Sometimes inabidi democracy ipotee kwa muda ik8ja kurudi hawarudii watabaki kusema katili ila hawatarudia tena.
 
Back
Top Bottom