Nipo njia panda wandugu

Umesema una mpango nae hivyo bado hajawa mke wako, akiwa mkeo unafikiri nini kitatokea? Unalazimisha kupendwa wewe wa wapi?!!! Hakupendi unamlazimisha, sasa subiri aje akumalize kabisa. Umepata uhakika kuwa kuna kijeba kina kuibia bado unavumilia, mwache aende wewe (huwa nachukia kumuona mwanaume mwenzangu analialia kisa mapenzi, wakati huko nje yuko mutoto muzuri anayesubiri fursa).
 
Mkuu fuatilia hiyo namba leo leo ikiwezekana mlazimishe kuipokea ukigundua anacheat achana naye kwq amani.

Ila kama sio hivyo mbembeleze tu atatulia.
Hawa watu sio wa kucheka Cheka nao saana.

Tabia ya kucheka na kuwaachia achia some time inazaa viburi

Yani mtu hataki kupokea simu!??? Ambayo unaisuspect?????

Anakufyonza???? Alafu unambembeleza

Ipo siku atakufyonza mbele ya watu wengine.

Mkishindwa kuishi kwa mipaka Bora kuanza upya kutafuta mwingine
 
Binafsi kama unauhakika namba ni ya mwanaume na umemwonya hataki kwangu naona achana naye... ila mengine jiongeze mwenyewe maana wew unayajua vizuri kuliko mimi.
nashukuru mkuu japo naumia sana kupoteza time yangu kwa kudhani nilikuwa kwenye mikono sahihi
 
Hawa watu sio wa kucheka Cheka nao saana.

Tabia ya kucheka na kuwaachia achia some time inazaa viburi

Yani mtu hataki kupokea simu!??? Ambayo unaisuspect?????

Anakufyonza???? Alafu unambembeleza

Ipo siku atakufyonza mbele ya watu wengine.

Mkishindwa kuishi kwa mipaka Bora kuanza upya kutafuta mwingine
Bro, kama ni mimi simu utapokea ukikataa nitaipokea mimi.

Halafu kwangu naona wanawake wengi wanaheshima hadi akufyonze utakuwa na shida. Japo viburi vipo.
 
Umesema una mpango nae hivyo bado hajawa mke wako, akiwa mkeo unafikiri nini kitatokea? Unalazimisha kupendwa wewe wa wapi?!!! Hakupendi unamlazimisha, sasa subiri aje akumalize kabisa. Umepata uhakika kuwa kuna kijeba kina kuibia bado unavumilia, mwache aende wewe (huwa nachukia kumuona mwanaume mwenzangu analialia kisa mapenzi, wakati huko nje yuko mutoto muzuri anayesubiri fursa).
mkuu sio mimi napenda kulialia ila ni moyo ndio uliona mahala salama kumbe ni kinyume
 
Hawa watu sio wa kucheka Cheka nao saana.

Tabia ya kucheka na kuwaachia achia some time inazaa viburi

Yani mtu hataki kupokea simu!??? Ambayo unaisuspect?????

Anakufyonza???? Alafu unambembeleza

Ipo siku atakufyonza mbele ya watu wengine.

Mkishindwa kuishi kwa mipaka Bora kuanza upya kutafuta mwingine
ni kweli mkuu
 
mkuu umepigilia msumari yaani ni mtu anayejiona malaika hapendi umkosoe hata kama unaona kabisa jambo fulani lina dosari ya moja kwa moja yeye huona unambishia na humuungi mkono
Mkuu ni heri tukaambiana ukweli ambao unaumiza kuliko kila siku tukaimbiana nyimbo za mapambio
 
Bro, kama ni mimi simu utapokea ukikataa nitaipokea mimi.

Halafu kwangu naona wanawake wengi wanaheshima hadi akufyonze utakuwa na shida. Japo viburi vipo.
inavyoonekana makuzi ya home kwao yamemuasiri kwa sababu anajijua yeye ni mzuri kitu ambacho ni kweli pia home kwao nadhani matusi ni jambo dogo sana
 
habarini wana jf
Naomba niende moja kwa moja kwenye point....usiku wa kuamka leo nimekosa amani totally na nimewaza sana lakini nakosa majibu nikaona ni bora niombe msaada kwenu.Ni kwamba mimi ninaishi na binti mmoja ambaye mwanzoni tulikuwa na mahusiano mazuri tu lakini sasa hivi nipo dilemma kutokana na mwenendo wake jana nilimtia kibao kibao kimoja baada ya kunifyonza kiukweli hasira zilinipanda sana nikamnasa na siyo mara moja wala mara mbili kunifyonza na maneno mengine ya kejeli hasa anapokuwa na hasira.Sasa baada ya tukio hilo alilia sana na kudai anataka aondoke kwamba hajawahi kupigwa na mwanaume yeyote ambaye atampiga hata kama ana makosa basi ni lazima amwache nilimbembeleza sana pasipo mafanikio baadae sana akakubali ingawa bado ana fundo moyoni.Shida ina kuja kwamba katika kupekua pekua simu yake nimeona namba fulani nadhani ndio inayompa kiburi ingawa sina uhakika maana huwa anafuta ushahidi na anapopigiwa hapokei ninapomuuliza kwa nini hapokei anadai hajisikii kupokea lakini nilipotazama zile call logs inaonyesha huwa anapokea mara kwa mara hiyo namba .Shida nyingine dini zetu ni tofauti ingawa kweli nampenda kwa dhati kabisa nina mpango nae sasa mara kwa mara ninakuwa nina mashaka naye hasa anapokuwa anachart nimebaki najiuliza nifanye nini lakini nakosa cha kuamaua ...wazo jingine linaniambia nitemane naye na jingine linaniambia niwe na subira ...naombeni ushauri wenu hasa jinsi ya kuachana naye kwa amani zaidi pasipo mimi kuhisi maumivu kwani bado nampenda sna ila kuzungukwa ndiko kunakonifukuza
Mi nadhani kama unakiri umemvumilia vya kutosha na habadiliki basi ni busara pia ukamwambia maisha mema na uzuri anakiri kuwa anarudi kwao hivyo we cha msingi kumpa nauli nakuhakikisha amefika kwao.

Kumfyonza Mme au mke ni dharau kubwa sana kwa upande wa tamaduni zetu.

Ombi kwako kama umeweza kumpiga kibao kwa hasira basi ipo siku utafanya baya zaidi la kukuweka matatani na kujutia. Late her go nothing else.
 
Hiyo Namba iangalia kupitia huduma za kipesa utajua mmiliki usikute jirani yako au vijana wa nyumbani kwao unaowajua
 
huwezi sijawahi hata ile kumfinya ila nilijikuta nimemuwasha na pia nilichokosea toka mwanzo ni ile hali ya kudhani ipo siku nitambadilisha kuwa kwenye uelekeo sahihi jambo ambalo naona kabisa sasa hivi haliwezekani na pia kuna viashiria fulani mbeleni hata kama nitashupaza shingo nitakuwa nimesogeza mbele tu maumivu ila ni comparsary shida niliyonayo sasa hivi natokaje hapa nilipo ninavyoongea muda huu bado amelala
 
inavyoonekana makuzi ya home kwao yamemuasiri kwa sababu anajijua yeye ni mzuri kitu ambacho ni kweli pia home kwao nadhani matusi ni jambo dogo sana
Uzuri wake si kitu kama tabia Ni mbovu. Hivi vitu vinategemeana bro.

Kuwa makini saana usipoweza kurekebisha nidham ya huyo mrembo atakusumbua saana utakapo muoa

Watch up
 
Hiyo Namba iangalia kupitia huduma za kipesa utajua mmiliki usikute jirani yako au vijana wa nyumbani kwao unaowajua
nimeicheck hyo namba mpesa kiukweli simfahamu na pia si jirani nilitaka nidukue mawasiliano yake ila nashindwa maana ningeona kila kinachoingia na ningekuwa na ushahidi wa kutosha
 
Bro, kama ni mimi simu utapokea ukikataa nitaipokea mimi.

Halafu kwangu naona wanawake wengi wanaheshima hadi akufyonze utakuwa na shida. Japo viburi vipo.
Hiyo nafasi ya kukataa kupokea anaitoa wapi?????
 
Pole sana. Umeumizwa sana. Lakini tunza heshima ya kiume. Kama haujamtolea mahari ongea naye kuwa uko karibu kutoa mahari. Akikubali umepata muda wa kumchunguza zaidi.
Muoneshe upendo wa hali ya juu kipindi hiki unamchunguza, mtoe out ,Nk. Ukijiridhisha na mwenendo wake utakuwa psychologically prepared .
 
Uzuri wake si kitu kama tabia Ni mbovu. Hivi vitu vinategemeana bro.

Kuwa makini saana usipoweza kurekebisha nidham ya huyo mrembo atakusumbua saana utakapo muoa

Watch up
ni kweli mkuu nimeimba na kuimba ila huyu ni kufunzwa na walimwengu tu ndo hayo atayaelewa mimi ninachotaka ninatokaje kwenye hii situation
 
Back
Top Bottom