MWANAUME UGOKO
Senior Member
- Nov 4, 2017
- 122
- 235
Mpelekeni malaika beach akajioneeToka porini huko njoo maeneo ya airport road huku ufike hata Diamond pub au Villa Park uione Mwanza.
Wewe ndo una matatizo mkuu, sisi sio watz wote. REASON; hii inaitwa "impeachment of credibility of witness' evidence".
Ndo maana ukiwa mashaidi utakutana na maswali km balozi wa eneo lako anaitwa nani? n.k lakini kesi ni kumgonga kwa pikipiki na kumuumizi msafiri kwa miguu.
Basi gani ya kufika Mwz sa 1 jion (19hra) tokea jiji la Makonda?? Huoni kuna rise doubts??
Tatizo yeye kafika usiku, katoka Nyegezi hadi Natta, kumbuka hapo ataishia kuona maduka ya wahindi tu barabarani.Ukienda Mwanza na bus lazima upaone pa ajabu. Kwanza umefika umechoka. Pili kama huna wenyeji utaona kero pia. Mwanza nimeenda kama mara nne na sikukaa sana ila napakubali sana
Hata kama ni jiji lakini uongo mwingine umepitiliza hakuna bus la kufika Mwanza saa moja from Dar unless umetoka dodoma... hata yasiyolala njiani yanafiki kuanzia saa sita usikuWatanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Ukweli wa habari yake haupo sababu huo muda amedanganyaNyie ndio mlikuwa manafeli mkiambia muweke vichwa vya habari kwenye Hadithi za Somo la Kiswahili....
Mkuu umerudi kwa ID nyingine watu wanauliza sababu ya reasoning kubwa wewe kilaza hukumbi hata kuuliza maswali ya msingiWatanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Wewe nae walewale, mtoa maelezo kajichanganya halafu nawe unajichanganya humohumo kuanza kujibu..Nyie ndo huwa mnakurupuka kujibu bila kuelewa.Hata kwenye mitihani hivyohivyo wanaoteza muda kujibu swali lisilo ulizwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wao waje watanikuta, niwa_impeach, maana hata hiyo phrase uliyowekea RED COLOR mimi sikuandika hvyo rejea post usome kwa makini. Wakuunganishe na wewe km (PW1) nione km utajib maswali yangu kwa kwa sahihi ukiwa kwenye WITNESS BOX.Wanaohusika na uhamiaji tunaomba mumfuatilie huyu bwana
Mbn hueleweki... ID ninayo moja..Mkuu umerudi kwa ID nyingine watu wanauliza sababu ya reasoning kubwa wewe kilaza hukumbi hata kuuliza maswali ya msingi
Yaani kiufupi lijamaa ni liongo East Africa nzima hakuna.Mwanza ni mji wenye town bus za kiwango na hakuna mashimo kama anavyojaribu kusema.hili jamaa litakua limetokea Ovada huko KondoaNdo kitu nilitaka kumjibu bora umemjibu ww mimi lingefuatia bonge la tusi sema basi tu
Kaandika ili watu wajue yupo mwanza
Mlilala njiani nyieKutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
Mbona na mi ndo naingia zangu mwanza sa hivHamna basi la dar linalofika mwanza saa 1 usiku mkuu hapo umetudanganya