Kuna daraja fLani nililiona china duh!!! Bonge la daraja limetengenezwa kwa vioo tupu... Hilo ndiyo la kushangaa na siyo hilo la Mfungale japo kwa level ya Tanzania siyo mbaya
Ni haki na ukweli nchi yoyote iliyopiga hatua kuwahi kufika Aeroport mapema. Si Ivorycoast Abidjan, Jozah SA ukiambiwa hotelini airport kufika ni nusu saa ujue nusu saa kweli.
Tunaomba na mitaani tuwekewe lami na mifereji tubaki kukabana wenyewe usafi was mazingira tu wananchi.
Haters huwa hawapendi kusikia habari za namna hii. Kama unapita Nyerere road utaona mabadiliko makubwa mno. Hopefully ubungo nako hali itakuwa nzuri, lakini pia Morogoro road nayo itakuwa na nafuu ya msongamano wa magari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.