Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
- Thread starter
- #41
AhsanteHurusiwi
AhsanteHurusiwi
hahaaHapo mkuu ungeenda ubalozi wa Japan ukatoe respect.
Kwi! kwi! kwi!Jioni lazima nirudi kushangaa zaidi, wanaruhusu kutembea kwa miguu kule juu?
Do not worry, uko kwenye raiti traki.Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
Ili hicho kifua kionekane kiko mbele?[emoji3] [emoji3]kumbuka kuvua shati
Hapo kwenye mkazo dadavua kidogo;Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
kifua juu makalio futuhiMimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
Kakifua sio kifua maana kwa kusoma post na comment zake inaonekana jamaa ni mwembamba.Ili hicho kifua kionekane kiko mbele?[emoji3] [emoji3]
Angalia usiweke sana kifua mbele... maana kadri kifua kinavyoenda mbele na konki konki inarudi nyuma. Mji wa mabasha huu hata Bashite anajuaMimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
Wao wenyewe wameandika bridge pamoja na neno flyover la kulazimisha.mfugale bridge????? una utani na jiwe hiyo sio bridge ni flying over
Kuna li mfugale fly over ambalo unalishangaa, kwa namna hii tutatawaliwa na maccm sana
Ndo inapozalisha viongozi mizigoKumbe tatzo ni maccm au uongozi mbovu???
Sijaelewa hapo ndg
Na huo ndio "uzarendo" wa "kweriiii"Do not worry, uko kwenye raiti traki.
tuseme umeshindwa kupiga picha kabisaaa??
sawasawaDo not worry, uko kwenye raiti traki.