Nipo maeneo ya TAZARA natembea kifua mbele

Nipo maeneo ya TAZARA natembea kifua mbele

Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.

Bigup uncle Magu.
Ni mfugale fly over mkuu.
 
Ah!!!.. Kumbe ww ndo huyu aliye pack Gari nyeupe... Nimekuona mkuu.. Nipo hapa karibu na ukuta wa bakhressa
 
Unaruhusiwa kupiga picha ukawaonyeshe wana kolomije pindi ukirejea home
 
Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.

Bigup uncle Magu.
Hurudi kinyume nyume au sio? Sasa itakuwa aje kifua kiwe nyuma?
 
Kalianzisha JK lakini kalisimamia JPM. Sasa njia hiyo barabara inapitika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom