Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Kifua mbele tako nyuma...yam kikonki konki.
Acha ulimbukeni, ndo tunaanza hivyo kuwafukuza na kuwaacha walio tutangulia, na kwa taarifa yako miaka michache ijayo wazungu watakuja kutuomba misaada.Hapo kwenye mkazo dadavua kidogo;
Unasena ni kubwa na nzuri sana,
Kulinganisha na wapi?
Manzese au Buguruni chama?
Acha habari zako,
Uliza waliofika 'Nairobee' ndio kuna mfano wa Fly-Overs.
Sio tunapigana porojo tu hapa.
Eti kifua mbele.Kwani una kifaduro?Daah nazidi kutembea kifua mbele
Kwa hiyo wewe ulitaka utembee kifua kikiwa mgongoni au Kwenye ya kukalia?Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
Ndoto njema ni za Usiku sio Mchana kama zako.Acha ulimbukeni, ndo tunaanza hivyo kuwafukuza na kuwaacha walio tutangulia, na kwa taarifa yako miaka michache ijayo wazungu watakuja kutuomba misaada.
Ndo inapozalisha viongozi mizigo
Asa mbona ukifika posta utatembea uchiMimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
Hapo mkuu ungeenda ubalozi wa Japan ukatoe respect.
Hivyo ndo zilivyotumika zile milioni 50 kwa kila kijiji. Ukirudi nyumbani kwenu kijijini waambie wananchi umeona 50 m zilivyotumika!
😀😀😀😃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Mkuu baada ya kupita na gari... Shuka upite kwa miguu
Saafi saaana! Nqa Bado!Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
hauna lolote zaidi ya kutuambia kwamba na wewe una gari............malimbukeni mnachosha sanaMimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.
Wivu mbaya sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hauna lolote zaidi ya kutuambia kwamba na wewe una gari............malimbukeni mnachosha sana
Mkuu usafiri uliotumia na phonex au swala?Mimi ni mshamba wa mikoani, nimekuja kushangaa jiji kidogo, muda huu niko Mfugale Bridge.... Kwakweli hii project ni kubwa sana na nzuri sana, baada ya kuvuka, nimetafuta ka eneo nimepaki ka usafiri kangu na kuanza kutembea kifua mbele.
Bigup uncle Magu.