Nipo kwenye hali ya kuanza kukata tamaa

Status
Not open for further replies.
Spirit of disappointment may come with any reason,sio kwa sababu umelalal njaa au umeachwa,biashara uliyooanza kwa pesa nyingi imekufa au umefukuzwa kazi.itatafuta sababu yoyote mradi ije.njia rahisi ya kuishinda nikuwa na moyo wa shukurani kwa MUNGU,
"Seeds of Discouragement cannot take root in a grateful heart"
 
Fanyia kazi ushaur uliopewa ndugu wengi wanapenda starehe, na kuheshimiwa wanasahau vitu vya msingi , don't give up if you think your in right way
 
A very big point. Frustrations zote zinaanzia pale tunapojilinganisha na wale waliotuzidi vitu fulani. Siku zote ukitaka ujue baraka zako, jilinganishe na yule wa chini yako. Umechelewa kupata kazi but sio kwamba umeambiwa hutopata kazi milele. Je wale kina Wakonta na yule mkaka muarabu Ahmed ambao wamepooza na uhakika wa kuja kunyanyuka sijui. Hao watu wawili Leo ukiwauliza nini wanakiwish zaidi, possibly watasema wanatamani wasimame tena, hilo tu, sahau mengine yote. Wewe ambaye unasimama, unajilisha, unajiogesha etc, kwa nini usiseme ahsante kwa Mungu, instead of kulalamikia usivyonavyo?
Yes mammy , kiukweli hata dini anasema hivyo, jilinganishe na aliye chini
 
kata tamaa ila kuna wenzio hadi gerezani waliingia hawakukata tamaa na leo hii majina yao ni makubwa na wanakumbukwa kwa mengi...mimi nakushauri uendelee kukatatamaa ili tukukumbuke kwa ubwege uliokuwa nao wa kushindwa kujifunza kwa waliotangulia...then mtoto wa kiume halii lii ovyo
 
Usichoke kupambana, point ya mafanikio ipokaribu, usithubutu kukata tamaa, kumbuka unaweza kuteseka kwa miaka mingi ila ukafanikiwa kwa kipindi kifupi sana. Kaza buti kamanda vita bado mbichi.
 
It's all about your grandparents. ...unaowaona wanapeta wana urithi toka kwa babu zao. ...akili na mali.

Wengine hawakupewa urithi wowote.

But you can turn things arround gundua kipaji chako maisha yatabadilika
 
I don't know what u going through but ur not alone man,lately I sometimes wish nikilala usiku iwe nimerest in peace mazima, somehow I wake up I fake smile n shit ila moyo bado mzito..hopefully ipo siku Mungu atajibu
 
Pole sana kwa kipindi kigumu unachopitia ila usikate tamaa. Hapa JF kuna forum ya kazi zilizotangazwa sehemu mbali mbali nchini. Jaribu kupitia kila siku na kutuma maombi kwenye zote ambazo unaona una qualifications wanazozihitaji. Kila la heri na baraka.

Nafasi za Kazi na Tenda
 
Are you sure? Please just take a piece of paper, and start mentioning all your blessings one by one. Mfano

1. Nina afya njema
2. Nina wazazi/familia na rafiki wanaonipenda
3. Nimesoma
4. Nina muonekano mzuri
5. Nimekula Leo
6. Ninaona, ninatembea, ninasikia, mikono yangu inafanya kazi etc
7. Nikiumwa Nina access na hospitali na madaktari wazuri + tiba etc

Tatizo binadamu muda wote tunapima baraka zetu kwa kuangalia possessions zetu (material things). Kuna Vitu ambavyo ni vidogo kwa macho, but vina thamani kubwa sana kwetu. Na hata siku moja usijilinganishe na waliokuzidi, bali wa chini yako. Otherwise hutojua ni kiasi gani umebarikiwa. Chukua kila nilichokimention afu angalia watu wa chini yako ni wangapi wanatamani kuwa kama ulivyo wewe. Kama hujanielewa, em kesho katembelee wagonjwa hospitalini afu uone

Yes, una ndoto zako but usipotelee kwenye ndoto ambazo bado hazijakamilika ukaishi kwa masikitiko na huzuni, ukashindwa kuenjoy maisha uliyonayo mikononi mwako. Kimbiza ndoto zako, ila shukuru na kuenjoy kwa ulivyonavyo pia. Mungu hata hajakusahau, it's just a matter of time. ..
noted
 
Nadhani unapitia kipindi wanaita quarter life crisis ambapo kijana hupata wasiwasi ikiwa anaweza kuyamudu maisha. Mara nyingi hii hutokea pale ambapo kijana huona uhalisia wa maisha ni tofauti na picha alioijenga. Ona zaidi kwa mujibu wa wikipedia.

Kwa kifupi upo sahihi na sidhani kufaulu shule ni kigezo cha kufanikiwa moja kwa moja. Cha msingi weka bidii na sasa anza kutumia mbinu za kufikia malengo. Hebu fikiria yule dada aliepata ajali ya kupooza au kutoona? Nadhani pengine yeye angekata tamaa lakini bado anajitahidi...shine kijana ongeza bidii utafanikiwa.


Quarter-life crisis
Page issues
The quarterlife crisis is a period of life ranging from twenties to thirties,[1][2][3] in which a person begins to feel doubtful about their own lives, brought on by the stress of becoming an adult. The term was coined by analogy with midlife crisis.




AspectsEdit

According to The Boston Globe, the quarter-life crisis occurs in one's twenties, after entering the "real world".[4] Erik H. Erikson, who proposed eight crises that humans face during their development, proposed the existence of a life crisis occurring at this age. The conflict he associated with young adulthood is the Intimacy vs. Isolation crisis. According to him, after establishing a personal identity in adolescence, young adults seek to form intense, usually romanticrelationships with other people.[5]

Common symptoms of a quarter life crisis are often feelings of being "lost, scared, lonely or confused" about what steps to take in order to transition properly into adulthood. Studies have shown that unemployment and choosing a career path is a major cause for young persons to undergo stress or anxiety. Early stages of one living on their own for the first time and learning to cope without parental help can also induce feelings of isolation and loneliness.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom