Mnanishaurije maana mimi sielewi

Mechanic 97

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
501
822
Wakuu ni mwaka wa nne Sasa Sina hata girl friend nilikua nae wakuzugia tangu nilipo kuwa na miaka 23 hadi Sasa nipo bila bila yaani sielewi.

Japo walikuwepo walio nishawishi hapo katika japo mimi ule uwoga wa maisha na kuona Sina cha kuwapa magonjwa pia unyumbani nikawa naona Jau.

Pia nilipita ugenini sio hapa napo kaa Sasa ila pale nilikaa Kwa mdaa mfupi na maokoto yalikuwepo kimtindo ila nilihama.

Sasa hapa nilipo Kwa Sasa Kwa miezi niliokaa napata pesa Ya kunitosha mm mwenyewe tu Kila nikifikiri kutafuta mwenza na nikiangalia maokoto yalivyo nakata tamaa ukichanganya na stori za wanawake wenyewe wanakuambia pesa mbele sasa Mimi naishia kukata tamaa. Je niendelee kujitafuta au ni force maana umri nao unanitupa mkono aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom