Ukiona umekataliwa na mwanamke/mwanaume usihuzunike wala kukata tamaa

So inabidi tuongeze ofa?

Ofa ya nini? Pesa?

Sasa sisi wafupi tunakataliwa balaa, kuna ofa ya urefu???
Hapana sio pesa.....?

Ofa nayo zungumzia pindi wakati unamfata pengine ulivo kuwa unaanza hakuvutiwa na the way ume introduce takwa lako, lakini ukiimprove ndipo utaona umekubaliwa

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli.....?

Unadhani kwanini huyo mtu akiendelea ku introduce ombi lake mwisho wa siku anakubaliwa.....

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Ila mwisho wake atachezewa tu kama ni mwanaume muda amepoteza na hela nakuamini anapendwa kumbe ni anachotowa, mwanamke nikupigwa mashine hadi basi kupewa mitoto ya watu unahangaika nayo, unazeeka Kisa wao , na muda pia
 
Kuhusu kutoa pesa kwa mwanamke wakati unamtongoza ni upumbavu

Mimi sijagusa sehemu inayoitwa pesa

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
IMG_4399.jpg
 
Back
Top Bottom