Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,861
- 15,836
alaaa kumbe,mfano mtu akikupa gari alafu akukate mkono,au mguu,hakika huwezi kukubali ,kama ni hivyo mtu ukiwa na afya njema timilifu una kila cha kujivunia,mana wapo wenye majumba na magari ,wamepooza wapo tu majumbani hawana furaha,ushauri wako mzuri nimepata pa kuanzia,mana nami ni muhanga wa mawazo ya kukata tamaa lakini nina mke mzuri,mtoto mzuri,wazazi,maisha ya kawaida tu si mabaya kivile,lakini kukosa nyumba na gari,na endapo nikayumba kiuchumi kidogo,huwa najiona nina mkosi sana,hasa kijana mwenzangu anapopita na gari,huwaza kwanini mimi ,nataka tamaaaa,nashukuru kwa hii tiba,nimejiunga humu miezi minne iliyopita,busara zs humu zimenisaidia sana,asante!Are you sure? Please just take a piece of paper, and start mentioning all your blessings one by one. Mfano
1. Nina afya njema
2. Nina wazazi/familia na rafiki wanaonipenda
3. Nimesoma
4. Nina muonekano mzuri
5. Nimekula Leo
6. Ninaona, ninatembea, ninasikia, mikono yangu inafanya kazi etc
7. Nikiumwa Nina access na hospitali na madaktari wazuri + tiba etc
Tatizo binadamu muda wote tunapima baraka zetu kwa kuangalia possessions zetu (material things). Kuna Vitu ambavyo ni vidogo kwa macho, but vina thamani kubwa sana kwetu. Na hata siku moja usijilinganishe na waliokuzidi, bali wa chini yako. Otherwise hutojua ni kiasi gani umebarikiwa. Chukua kila nilichokimention afu angalia watu wa chini yako ni wangapi wanatamani kuwa kama ulivyo wewe. Kama hujanielewa, em kesho katembelee wagonjwa hospitalini afu uone
Yes, una ndoto zako but usipotelee kwenye ndoto ambazo bado hazijakamilika ukaishi kwa masikitiko na huzuni, ukashindwa kuenjoy maisha uliyonayo mikononi mwako. Kimbiza ndoto zako, ila shukuru na kuenjoy kwa ulivyonavyo pia. Mungu hata hajakusahau, it's just a matter of time. ..